Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

Mtoa mada tunakushuru Sana tunakuomba ikikupendeza Kila baada ya miezi mitatu uwe unatukumbusha hili jambo la wachaga ili tuwaepuke kabisa.
 
CC: Taarifa iwafikie wote wanaotoka kwenye koo za kina Mushi, kimaro,Nkya,Swai, massawe, Lema,urassa,Ndossi, Meena, uronu,mbasha, Silaa,Kweka,Munisi, Mboya,Mafuwe ,somi na Mbowe.
Una mali gani wewe za kuhofia kuuwawa? Hebu tulia huko usitupigie kelele bwana
 
Mwamba kaona bora akafie kwenye mikono ya serikali kuliko kudhalilishwa na mwanamke
 
kua uyaone mdogo wangu
 
Ili kuepusha mauaji mengi ndani ya taasisi ya ndoa, nawashauri Wachaga muoane na wachaga wenzenu. Huenda mabinti zenu wakahofia kuleta tamaa za kutaka kudhulumu mali za waume zao wa kichaga.
Labda wewe ni mgeni kwenye hili pole. Sana na usiwajaribu watakuumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…