Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.

Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
Kama Hitler na washirika wake hawakuweza kuwamaliza Wayahudi enzi zile itakuwa vivyo hivyo kwa Waisraeli kuwamaliza Hamas !
Ni ngumu sana kuziua ideas !

Political solution ni muhimu sana !!
Two states solution ndio muarobaini wa kumaliza huo mgogoro lakini wapo wahafidhina ambao hawataki kusikia hiyo habari ! So sad 😞 !
 
Kwa mfano sisi tunamgogoro wa ardhi na Malawi

Mfano kuntu sisi TZ tuko na mgogoro wa ardhi na Malawi tunagombea ziwa Nyasa aka lake Malawi ,Kuna kipindi jeshi la Malawi lilifanya uhuni wa kukamata wavuvi wetu na kufanya mazoez ya kijeshi pande ambozo sisi tunasema ni kwetu na wao wanadai ni zao Kuna ujumbe ulitumwa kwao nadhan waliangalia possibility Yao kushinda endapo vita ndio ingekua suluhu wakaamua tu kukaa kitalaamu na bro wao

Nafikiri wanasubiri wakati sahihi.
 
Na hapo ndipo Mwenyezi Mwingi wa Rehema atakapoleta Nusura yake (Insha Allah) ili dunia ijue kuwa yeye ndiye mmiliki wa hii dunia.

Hawa wakubwa wamesahau juzi tu walikuwa kwenye kimuhemuhe cha COVID wakachachawa, wakapagawa?.

Mungu hufanya kazi katika mysterious ways!
Allah anaitwa tangu juz Israel alipoazisha mashambulizi kakimbia haji
 
Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.

Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?

Russia 🇷🇺 ndiyo baba wa waliotengwa.
 
Jeshi la Hamas wanasema wako vijana 50,000. Wanahifadhi silaha shuleni, hospitalini nyumba za wazee, univervities, vyuo. Itakuwa kazi kubwa na umwagaji mkubwa wa damu.

Ila wana mahandaki yanapita chini ya ardhi hadi Misri kama Mahandaki ya Mexico- USA. Wote watasepa Egypt watakaouawa ni wananchi wa kawaida.
Uongo huu.
 
Kuchinja binadam aliyeumbwa na Mungu kama mbwa ni chukizo mbele za Mungu,wapalestina na wa Israel wote wameumbwa na Mungu na wote wanahaki ya kuishi,lakini kilichofanywa na Hama's acha kijibiwe kwa moto ndicho walichokitafuta kwa mikono yao wenyewe.
 
Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.

Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
yeyote mwenye akili hawezi kukubaliana na mauaji ya wayahudi ya juzi. ataiunga mkono israel tu.
 
Dogo nipitie homu kwenu oydterbay Nile burger, icecream na pizza?

Pleeaseaaa🙏🏿
IMG_20231014_171849_563.jpg
 
Mungu hufanya kazi kupitia wanadamu

Vita, Maradhi, Neema, Usitawi unaweza kufanywa na mikono ya wanadamu lakini kwa influence ya Mungu behind the scene.

Usiniulize hekima ya evil duniani ni nini, siijui ila Njia za Mungu hazichunguziki.

Hata hao Wayahudi wamekula kibano kuliko mtu yeyote duniani kwa miaka mingi sana.
Endelea kujifariji. Huwezi kufuga magaidi halafu utegemee mtu/watu wakuonee huruma.
- Lile tetemeko lilopiga Turkey (nchi yenye waislamu wengi) unalizungumziaje?
N.B
  • Huko uarabuni (yenye waislamu wengi) na nchi yenye waislamu wengi. Mtu akiacha uislamu anakatwa kichwa. Huoni huu ni udhalimu na kukiuka uhuru wa kuabudu?
  • Iran, kipindi fulani binti kaacha kichwa wazi, waislamu wenzake wamemuua. Huyo Allah gani anayetetewa kwa kuua watu?
 
Naam naamini hivyo.

Hawa Wayahudi miaka yote "wanalelewa" na Superopwers wa wakati huo, lakini baadae anatokea superpower mwingine anawapa kibano kikali. Naona sasa hivi wamo katika zama za "kulelewa" na Superpower wa sasa.

Walipewa Kibano na Ufalme wa Babylon
Wakaja kulelewa na Ufalme wa Kiajemi

Walikula kibano chini ya Ufalme wa Kirumi
Wakaja kulelewa na Dola za Kiislamu (Ottoman Empire)

Walikula kibano wakati wa Utawala wa Hitler
Sasa wanalelewa na Utawala wa USA

Sasa wasipobadilika na kuacha uovu wao, wasishangae kibano kingine kinakuja!
Kipindi Palestine inavamia raia wa Israel na kuawauwa na wengine kuchukuliwa mateka kupelekwa Gaza mlikata viuno na kushangilia.
Sasa hivi wanapelekewa moto mnajifanya kuwaonea huruma sana.
Mpalestina aliyatafuta mwenyewe, mimi siwezi kumuonea huruma. Acha apigwe ili siku nyingine awe na heshima.
Waislamu huwa wakanza kuua watu ovyo na kuunda makundi ya kigaidi.
  • Boko haramu/ Islamic state, Al Shabab n.k wanaua watu ovyo lkn hakuna waislamu waliondamana kuhusu haya makundi
  • Libya 99% ni waislamu lkn walichinjana km kuku
  • Sudan ni waislamu 89% lkn sasa hivi wanagombea madaraka
  • Angalia Pakistan, ni vurugu tupu
  • Iran, binti hajafunika kichwa wamemuua.
  • Somalia mpaka wamegawana nchi na wote 99% ni waislamu.
Shida ya waislamu wanapenda ugomvi na kuua watu ovyo na kujiona wao ndiyo wanahaki kuliko wengine
 
Endelea kujifariji. Huwezi kufuga magaidi halafu utegemee mtu/watu wakuonee huruma.
- Lile tetemeko lilopiga Turkey (nchi yenye waislamu wengi) unalizungumziaje?
N.B
  • Huko uarabuni (yenye waislamu wengi) na nchi yenye waislamu wengi. Mtu akiacha uislamu anakatwa kichwa. Huoni huu ni udhalimu na kukiuka uhuru wa kuabudu?
  • Iran, kipindi fulani binti kaacha kichwa wazi, waislamu wenzake wamemuua. Huyo Allah gani anayetetewa kwa kuua watu?
In six days, Israel has dropped 6,000 bombs on the besieged coastal enclave, which is home to 2.3 million Palestinians. Half of them are children. This falls just short of the highest number of bombs dropped by the US in a year in the war on Afghanistan. This is genocide
 
Palestina angeacha kulea magaidi suruhu ingepatikana hakika.
 
In six days, Israel has dropped 6,000 bombs on the besieged coastal enclave, which is home to 2.3 million Palestinians. Half of them are children. This falls just short of the highest number of bombs dropped by the US in a year in the war on Afghanistan. This is genocide
Ndiyo waache kufuga na kushirikiana na magaidi
Kipindi kundi la wapelestina la HAMAS wanavamia raia wa Israel kwenye tamasha hawakuona hayo?
Sasa hivi wanataka kuonewa huruma.
Iwe fundisho
 
kinachoendelea sasaivi, wanajeshi wa israel hawadili tu na Gaza, wanazunguka westbank pia wakichomoa member wa hamas mmoja baada ya mwingine na kuondoka naye. haijulikani sasa kama watafika naye huko anakopelekwa akiwa hai au watasema alijaribu kutoroka wakamshona risasi.
 
Naomba sikilizeni ushuhuda wa huyu Mwarabu anayeishi Israel ambao unaonyesha kabisa kuwa Israel haibagui raia zake. Pili huyo ni Mwarabu wa eneo hilo hilo, lakini Wala husikii akijitambulisha kuwa ni Mpalestina- hichi ndiyo tunachosema kuwa hakukuwa na Taifa la Palestine KABLA ya 1967. Hiyo walianzisha Waislam siasa kali ili kusukuma Agenda yao ya kufutilia mbali Taifa la Israel

View: https://x.com/YosephHaddad/status/1713176773410586892?s=20
 
Back
Top Bottom