mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kama Hitler na washirika wake hawakuweza kuwamaliza Wayahudi enzi zile itakuwa vivyo hivyo kwa Waisraeli kuwamaliza Hamas !Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.
Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
Ni ngumu sana kuziua ideas !
Political solution ni muhimu sana !!
Two states solution ndio muarobaini wa kumaliza huo mgogoro lakini wapo wahafidhina ambao hawataki kusikia hiyo habari ! So sad 😞 !