Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

Mkuu usipende watu wakae kinyonge, tena siku hizi wanatengeneza ofisi zao vizuri kweli, kiti cha kuzunguka, meza nzuri na kiti cha mteja (waiting area)

Watu hawajafanikiwa kufanya kazi posta, ila wametengeneza posta zao huko mbagala, kudos fighters.
 
muulize dokta msukuma anabishana na dokta janabi
 
Kwahiyo unaogopa
 
Lakini Kwa Mimi Ninavyojua CEO kwenye makampuni Makubwa Ni Mwajiriwa tu na Wala sio Mmiliki wa Kampuni..

Kwa mfano:-

Wamililiki wa Kampuni mara Nyingi huwa Ni wanahisa au wawekezaji kwenye Kampuni (Shareholders)..

Shareholders Ndo huteua Board Of Directors (Bodi Ya Wakurugenzi)..

Sasa bodi ya Wakurugenzi Ndo huteua CEO..
Kwa ajili ya Kusimamia Kampuni kwa ukaribu na Kufanya maamuzi ya kampuni...

Lakini Kiuhalisia Mmiliki anaweza asiwe CEO yeye ni Mteuliwa tu..

Na ndiyo maana Kuna CEO Na yeye Akiteuliwa anamteua COO, CFO, CRO na wengine ili wafanye kazi Chini yake..

Na wanareport kwake tu na wao ndo wanakuwa wakurugenzi chini yake
 
Wajiite wengine uumie wewe! Wakijiita wanyonge napo utaumia au unaumia wao kujipa vyeo tu?
 
Nachofurahia ni kuwa ndugu zangu wazaramo Sasa wamekuwa wengi hapa jamiiforums maana iwe usiku ,mchana hata asubuhi ni mwendo wa kuchambana tu 😃
 
Exactly .
Hadimu chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…