Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Heshima isivunjike ya JK, anamchekelea sweetheart wako akinywa chai juu ya bati la nyumba uliyompangishia jangwani! Afu anamuuliza unaendeleaje, wakati anaona nyumba inaelea. Heshima ya NN haishuki bana, unless alete zile bhange zake za kidhungu manake nae si haba,lol
Kuna kibosile mmoja kanijia na mchongo anatafuta mtu kuziba nafasi fulani, napata tabu kupata mtu mwenye uzoefu unaotakiwa na work ethic inayohusika. Siyo unapeleka mtu kazi hajui anachemsha unaonekana wewe uliyemleta nawe ovyo.
Itabidi nimwambie tu atafute kwenye channel nyingine.
Sema hukubahatika siyo hatukubahatika!mkuu nataka ujue watanzania hatukubahatika kuwa na skill'sasa hilo tatizo limesababissha wengi tuwe na maisha ya kubahatisha kwa sababu hatuna ujuzi maalum'sasa ukiwa nje ya nchi hii inabidi ufanye kazi yoyote ile ili uweze kuishi'sasa kama unataka kujua anzia hapo kufikiri
....Kuna watu wana kazi za maana sana na wanavuta mkwanja mzuri sana lakini kwa sababu hawaoni umuhimu wa kujipigia debe kila uchao basi watu wanadhani Wabongo wote walio juu wanabeba box. Na asilimia kubwa ya hawa wamezaliwa, kukulia na pia kusomea Tanganyika. Na wanaiwakilisha nchi yetu vizuri sana na hivyo kuipa sifa nzuri nchi yetu.
Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.