Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Kitu kimoja kuhusu wenzetu ni ile nidhamu ya kazi, heshima na thamani... haijalishi unafanya kazi gani!!! Huwezi linanisha na akina Kaguo wanajibu maswali utadhani wanashauriwa na Salome wa Brake POint
 
Lol! Hii kali! Kweli JF kuna vituko, mkuu hivi mbuzi anakula ama analishwa?lol!

we kweli mwaka huu nadhani hujaenda moshi kutoa kafala, ndio maana mizimu ya kwenu ikaingia kichwani, toka lini mbuzi akalishwa ? Sema anawekewa chakula, mtoto ndiye analishwa
 
mmmmh kuuza baa basi njooni huku bongo Meeda wanahitaji wahudumu walio na uzoefu wa kimataifa

Kuna tofauti kubwa ya kipato na Mazingira ya Kazi, Ulindwaji na usimamizi wa haki za Waajiriwa. Hayo Bongo yanapatikana kwa uchache au hayapatikani kabisa, hivyo itakuwa vigumu kuwashawishi hawa jamaa walete huduma zao kwa sasa, labda hapo baadae.
 


NusuMutu,
Umesema Vizuri "Chumia juani ukalie kivulini" Inaelekea unakidhi mahitaji yako na la muhimu unajielimisha kwa kulipa Mwenyewe. "Nkuvulia Kofia" kwa hilo wengi wamedunda wale ambao si Watoto wa Matajiri/Mafisadi. Na hao waliosaliti Taifa ie (Viongozi) Wengi wao ni wale Waliosomeshwa bure na watoto wa Wananchi wanowasaliti.
 
we kweli mwaka huu nadhani hujaenda moshi kutoa kafala, ndio maana mizimu ya kwenu ikaingia kichwani, toka lini mbuzi akalishwa ? Sema anawekewa chakula, mtoto ndiye analishwa
Eti anawekewa chakula, na wanaochungwa vipi? Hao "wamewekewa ardhi"?

Ama kweli kiswahili kigumu, halafu unatumia msuli mno, tulia.

Sidhani kama nia yako ni kujuwa ukweli kwa style ya uropokaji, inaelekea una yako mambo.

Usipende kwenda kich kichwa humu JF hata kama una hasira.

Hapo kwa kunikosoa mimi, sasa ni kama nyani haoni kundule...

Mi mchagga na wewe vipi kiswahili chako mbona bado umetifuka?

Halafu "kafala" manake nini? We kweli festori

Nilichomaanisha mimi ni kwamba mbuzi haendi kazini ama hajihughulishi kufikiri kuhusu kazi na kuweka something on the table, mbuzi si binadamu mbuzi wee!
 
Reactions: BAK
sasa hivi nafuga mkia kwanza
ndevu nazo za kutosha
siogopi kutumiwa na mtu ili nipate nachokitaka

tena nawafurahisha sana
nimejjifunza na kuwika kazisa

Unajua wewe Kongosho unanifurahisha sana, kwanini lakini unajidai mwanamke?
 

acha kudandia treni kwa mbele we boya wa kichaga utaumia...sibishanagi na kichwa boga ludi nyuma ujue sababu ya kuandika au kumjibu mtoa mada!
 
acha kudandia treni kwa mbele we boya wa kichaga utaumia...sibishanagi na kichwa boga ludi nyuma ujue sababu ya kuandika au kumjibu mtoa mada!
ludi basi ufikili vyema, kwani mtoa mada ni nani zaidi yako?

Nirudi nyuma kuangalia sababu uliyoandika kujijibu?

Ngoja niachane na wewe inawezekana una matatizo ambayo sintoweza kukupatia msaada wa aina yeyote...Soori!

Halafu chunga domo wewe, umejiunga juzi tu usiparamie na ujinga wako wa kuita watu majina.
 

KUSEMA KAMA UNAFANYA KAZI CITY YA KUZOA TAKA NI NGUMU SANA..BORA USIWAULIZE LABDA SIKU WAKIJA KUTEMBEA BONGO WATAKUACHIA MITUMBA YA iPHONE..
 
mbona huulizi watanzania waliopo tanzania wanafanya kazi gani? Na je kazi zao zinakuhusu nini?
 
Mara nyingi ukitaka ugombane na mtanzania aliyeko nje, basi muulize kuhusu kazi yake huko majuu.......utaona anachenga chenga tu hatoi jibu la maana. kama kazi ni kazi bora kipato basi msifiche muwe wakweli......kwani kazi ni dhambi jamani?? by the way, it is your life who cares? hata ukiogesha vibibi feel proud of it........
 
mbona huulizi watanzania waliopo tanzania wanafanya kazi gani? Na je kazi zao zinakuhusu nini?

watanzania wanabeba box na kulea vibibi. Naomba ujibu swali usiulize swali juu ya swali
 

Watu wako kwenye ma "Global Directory" ya makampuni yaliyo na kisu kuliko karibu nchi zote za Ki-Afrika, na wanategemewa. Sema experience yako na wabongo unaowajua wewe, usi generalize wabongo wote.

Just because your circle of wabongo works in retirement homes (not to belittle that noble occupation) it doesn't mean wabongo wote wanafanya kazi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…