Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Nimechukulia defenition ya pili, ya kwanza nimeona haifiti kwenye mada hii

Kwa hiyo mtu akikuuliza unafanya kazi gani anakuwa na kijicho au wivu?

Au mtu akikuuliza biashara/kazi yako inakulipaje ni wivu au kijicho?

Kwa nini isiwe kwamba anataka kujifunza kitu toka kwako?

Hata kama kazi yako ni siri kubwa ya dunia kama Meremeta na Tangold bado naamini waweza mpa mtu mwongozo akapata idea ya kuanzia.

Swali la kizushi: hivi wanamme nao huoneana husda?
 

unaweza kusema watu ambao utamaduni na logic hii havipo kwao
hawana husda?
mfano unaweza sema wamarekani na waingereza hawana husda???????
 
Kuna profesa wangu mmoja wa ECON, very debonair gentleman, alisema katika lecture moja kwamba yeye akikutana na mtu katika mazungumzo hawezi kuuliza "Unafanya kazi gani/ wapi?" kwa sababu sio kila mtu ana kazi, na hata kama ana kazi si kila mtu ana uhuru wa kukuambia kazi yake.

Hapo unaona huyu mtu ni msomi na mstaarabu, unlike muanzisha thread hii.
 
Sijui maana ya husda lakini najua CCM wana husda mbaya sana.sheenz!
mood: hapa nimeongea na hasira sana
 
unaweza kusema watu ambao utamaduni na logic hii havipo kwao
hawana husda?
mfano unaweza sema wamarekani na waingereza hawana husda???????

Husda ipo kote duniani, tofauti degree. Hawa watu wanayo, lakini haiko katikati ya utamaduni wao.

Kuna Senator mmoja wa Illinois, aliyekuwa Senator kabla ya Obama, alikuwa anampeleka mke wake akaparamiwe na minjemba, yeye angalie, ndio furaha yake. Akashtukiwa ikawa scandal. Na hizi habari ziko common kuliko wengi wanavyofikiri.

Unawza kum picture Bedouin kufanya hivyo? Kuna waarabu wengine dada akivaa vibaya tu kaka anampiga honor killing.
 
Kwa hiyo mtu akikuuliza unafanya kazi gani anakuwa na kijicho au wivu?

Au mtu akikuuliza biashara/kazi yako inakulipaje ni wivu au kijicho?

Kwa nini isiwe kwamba anataka kujifunza kitu toka kwako?
Ni dhahiri kwamba kila kitu kina pande mbili, hata wanaokuuliza umeamkaje asubuhi sio wote wanauliza kwasababu wanajali ama kwa nia nzuri.

Wapo watu wanaoweza kuuliza kutokana na mafanikio yako (ili nao wafuate nyayo zako) na wengine (kama mtoa mada) wanauliza kama kukomoa.Kwamba "kama una kazi nzuri sana kwanini unanificha?" nia ya kujifunza iko wapi hapo?
 
Huku-quote chochote
so uliirusha kwa umma wote
Ikamaanisha umma una kijicho
sijakurupuka
 

nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya mambo
yanasababishwa zaidi na tamaduni kuliko tunavyofikiria mfano hiyo husda

sasa unaposema tofauti ni degree.......nipo curious na hili kwa watanzania....

je kwa kuwa tumeathirika na arabic culture na lugha yetu ina athari za kiarabu....

unaweza kusema kuwa watanzania wana husda sana kulinganisha labda na wabotswana?mfano?
 

Umesoma muanzilishi wa thread kaandikaje? Kashawatusi rafikize wapenda sifa, ana mema nao?
 
Umejibu vyema. Hata ukiwa na Phd kama siyo mzawa utafanya kazi za ovyo tuu. Ila zinalipa kuliko Bongo.
 
ninakatia majani ng'ombe tena kila mmoja anaruzuku kutoka serikalini hvy ninalipwa na mwny mnyama na serikali,zaidi ya gavana wa bot tz
 

Kwa kweli Watswana (sio WaBotswana) siwafahamu kihivyo kukupa a meaningful comparison.

Ila ninachoweza kukwambia ni kwamba ukiwachukulia Watanzania halisi na Watswana halisi kama wanaoitwa ma Bushmen wale, husda ndogo pande zote. Kinacholeta husda kwa sana ni modernity. Kuna pande za kati unaweza kwenda bomani ukakuta mshale umekitwa mlangoni unajua alama kwamba mama yupo na mmewenza anafanya vitu, hamna husda, unajikata zako, siku nyingine unaweka mkuki wewe mshaji anasepa, akitokea mtoto wa kijiji. Hamna husda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…