Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

Mie nina maDish yote nilianza na Star Times nikaja DSTV na sasa nimeongeza la Azam ni zaidi ya Miezi 8 tokea ninunue Azam...Kiufupi Azam ameua biashara ya ving'amuzi vingine TZ.... DsTV wananipigia simu mara kwa mara kuhusu ofa zao na eti nikilipia kabla ya tarehe fulan nitapewa ofa ya juu....Kiukweli DSTV kwasasa nae anaenda kufa kibudu km walivokufa wenziwe Continental,Zuku, Startimes nk....Azam kwasasa hakamatiki

Kuna wakati nilikua nalipia vingamuz vyote DSTV na Azam lakin niliacha baada ya kuona no one is interested na DSTV...
Azam ameangalia soko la ndani na ndo hilo ambalo ata ukirudi saa 6 home utamkuta Beki 3 katulia kwenye tamthlia anazopenda kwenye Azam...

Nimeona kuna members km wawili wanasema Azam ana Udini dah kuna watu wanachuki aisee... Fatilia Channel ngap za ukikristo na ngap za uislam...

NB: Hakuna aja ya kuharibiana biashara kwa chuki cha msingi tumia ukipendacho..

Mtu una uwezo wa Germany cars kwann uhangaike na Japan cars????
 
....Kiukweli DSTV kwasasa nae anaenda kufa kibudu km walivokufa wenziwe Continental,Zuku, Startimes
Hapa ndio umeonesha 'ujinga' wako ni wa kiwango gani. Unajua DSTV yuko nchi ngapi Africa? Hiyo takataka inaangaliwa huko Tandale na Mbagala imuue DSTV!!!!. Siku nyingine jaribu kuficha ujinga wako BINARY NO
 
"No one is interested na DSTV" Kwanza tungeanzia hapa, hivi wewe bumunda unaishi wapi? Yaani kipimo chako cha ubora wa king'amuzi ni house girl kuangalia tamthilia!!! Elimu, Elimu, Elimu.
 
Kuna kipind nimelipia DSTV family wakajichanganya wakanipa premium ,aisee premium ina balaa kitu HD kira chanel iko vizur unabak umeduwaa na remote mkononi ukihamisha huku balaa kwingine balaa .
Nauliza kwenye dstv mbona quality ya free chanel ni ndogo ? Na sijalipiaa mda
 
DSTV kwa ajili ya EPL,Azam Media kwa ajili ya NBC League,so unacho kipata DSTV Azam hukipati hivyo kwa Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…