BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,151
- 2,162
Mie nina maDish yote nilianza na Star Times nikaja DSTV na sasa nimeongeza la Azam ni zaidi ya Miezi 8 tokea ninunue Azam...Kiufupi Azam ameua biashara ya ving'amuzi vingine TZ.... DsTV wananipigia simu mara kwa mara kuhusu ofa zao na eti nikilipia kabla ya tarehe fulan nitapewa ofa ya juu....Kiukweli DSTV kwasasa nae anaenda kufa kibudu km walivokufa wenziwe Continental,Zuku, Startimes nk....Azam kwasasa hakamatiki
Kuna wakati nilikua nalipia vingamuz vyote DSTV na Azam lakin niliacha baada ya kuona no one is interested na DSTV...
Azam ameangalia soko la ndani na ndo hilo ambalo ata ukirudi saa 6 home utamkuta Beki 3 katulia kwenye tamthlia anazopenda kwenye Azam...
Nimeona kuna members km wawili wanasema Azam ana Udini dah kuna watu wanachuki aisee... Fatilia Channel ngap za ukikristo na ngap za uislam...
NB: Hakuna aja ya kuharibiana biashara kwa chuki cha msingi tumia ukipendacho..
Mtu una uwezo wa Germany cars kwann uhangaike na Japan cars????