Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti kubwa kabisa ipo katika Mifumo ya Maisha, Utamaduni, Mila na Desturi.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Lazima nikubali sijafika Western Countries but ndoto ya kufika huko lazima nitaitimiza tu hata kama Kiranga ataendelea kuweka kauzibe vipi 😜 (Jokes)
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!
Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!
Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.
Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo kama Bi Mkubwa Tukinao a.k.a FaizaFoxy.
Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-
1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.
2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!
3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!
4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians
5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!
6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!
Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!
Hebu Bi Tukinao FaizaFoxy njoo hapa unipe muongozo
Kingine nawashauri wanaotaka kuja ulaya kubeba angalau wasome hadi siksi A level. Inasidia sana. Unajua kuna utafauti wabeba boksi walioenda shule. Kiingereza siyo eti elimu hapa.
Boksi linachosha inafikia wakati unahitaji alternative.
Kunakipindi cha nyuma nikaenroll na siksi ya hapa ilikuwa shinikizo la X wangu aliyenileta huku wiki za mwanzo kuna mahesabu flani ilibidi tu solve maamae. Kichwa kilikuwa kinaspin around utadhani the earth on its axis. Nikasema this is bullshit nikatemana na shule. X alimind kichiz.
Ila najuta ningevumilia ningekuwa na elimu ya juu ya kujivunia siyo ya kutafuta kazi bali kuelimika.
Jamani hebu nipeni connection ya kufika hapo tyuuh, tena mnipe mwezi m1 baada ya hapo nasimama mwenyewe.Hahaha mkuu. Karibuni nauleta uzi wa kuosha vyombo yani bonge la contract sitasahu kukutag. Kwa ufupi tu nilistop kuosha vyombo kwa muda lakini narudi kwenye game Dishwashing na kitchen assistance.
Nimekua nafanya black job cash in hand. Amini usiamini mwezi wa sita na sana mwaka huu nilifanya masaa 1000 nakulipwa kwa saa 180 ddk kuna mzee mmoja tajiri ana shamba kubwa la miti.
Yani huyo mzee kumaliza kazi tu jioni anakudakishia madaf kama 70k- 80k madafu kwa saa.
Ana kazi nyingiii million of jobs hadi za kuokota matakataka. Ila ni during summer.
Uzuri hapa nafas za shule za kumwaga. Ila hizo nafas za health zina competition sana. Ziko demandingMkuu mie nilifika SIX ila nilifeli,hivyo natumiaga cheti cha Form 4,Je nikija huko naweza jiendeleza?,Hasa napenda sana kusomea mambo ya Community Health
Hivi mkuu hii kupiga box manake ni nini haswa i mean hii huwa ni kazi inaitwa hivo? Naomba maelekezo tunduizi tafadhaliUlivyoongea vingi ni Op, ughaibuni sio kama zamani mzee wangu, anyway karibu uje tupambane na box
Loooh! Maskinii!! Waafrika!!!Nawezaje Fika Ughaibuni?Nisaidieni Njia Hata Haramu Tu Nikawe Kama Mkimbizi Kule
Mimi nipo Texas apa nakunywa bia bingwa njoo unipige kamoja basi.Watanzania wa nje diaspora kwa miaka hii 10-15 tumeenda mbali sana. Tatizo letu tuna utamaduni wa kuonana tupo chini kila siku. Kuna Watanzania wengi wanakazi nzuri, wafanyabiashara na wataalamu sehemu mbali mbali. Tuna mdeical Drs, watu wana nursing homes, biashara za magari, technology consultants na wengine kama mimi consultant kwenye Healthcare tupo wengi tu. Mimi nipo Texas mfano namfahamu tuna Mtanzania ni Director wa Accounting department Toyota, pale Oklahoma tuna VP kwenye kampuni ya payment system, Tuna treasury wa Amazon, Tuna Director wa Technology BP, tuna Nurse practitioners wenye ofisi zao....... . Lakini kuna comminity ambazo bado kuna tabia za kuongeana ongeana kama Washington DC (DMV). Lakini sehemu nyingi Watanzania wanaendelea vizuri sana.
Tatizo la Watanzania wanatulingalinsha na Wanigeria ambao kwa mfano Wanigeria wapo karibu 200,000 hapa Texas wakati Watanzania wapo 2000 hatuwezi kujilinganisha nao. Pili Wanigeria wameanza kuja 1970's na 1980's wakati Watanzania wengi wamekuja kuanzia 1995 na wengi 2000-2010. Lakini nasikia sehemu nyingine Wanzanzibari wanajitemnga tenga sana na hii sio nzuri kwa jumuia zetu.
Mi mwenyewe nikiendaga Zanzibar naonaga sipo bongo, mara mia nikiwa Nairobi nafeel home kabisa kuliko nikiwa Zanzibar aiseeMkuu mzanzibar siyo Mtanzania,hili likuingie kichwani kuanzia leo!
Mimi nipo Texas apa nakunywa bia bingwa njoo unipige kamoja basi.
Ni kweli wabongo wana matatizo sana na ndiyo maana hata nikiwa nje ya nchi sipendi kuwatafuta au kuwajuwa.....wana ujinga wa Kiswahili mno. Mtu anatoka Tanzania anakwenda Marekani anatafuta watanzania wenzake ili waongelee masuala ya bongo fleva au ujinga wa Manara, imagine yuko nje ya nchi hapo anataka kujuwa Manara anafanya nini au Diamond kamchiti Zuchu na nani. Yaani wabongo hawakuwi hata kidogo.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!
Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!
Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.
Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo
Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-
1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.
2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!
3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!
4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians
5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!
6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!
Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!
Jamani hebu nipeni connection ya kufika hapo tyuuh, tena mnipe mwezi m1 baada ya hapo nasimama mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haifunguki sasa, sijaona.
Kwahyo hoja ni moja tu hapo..wana matumiz mabaya ya pesa.si ndio.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni.
Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka niviache bongo!
Yaani siku ya kuondoka inapaswa mtu na dada yake wa damu (Uongo & Ujanja ujanja ) niviache pale Uwanja wa Ndege nihakikishe havipandi ndege!
Wenzetu hawapendi uongo hata Kidogo,Yes ni Yes na No ni No!.
Jamaa akaniambia kinachofanya wabongo wengi hawaendelei huko ni Ujuaji wa Kijinga waliotoka nao Bongo
Na sababu kubwa ya kutofanikiwa huko jamaa waliniambia ni uvivu na U-Much Know mwingi!,Jamaa akaniambia sababu kubwa za kutofanikiwa kwa wabongo ni kama zifuatazo:-
1.Kufanya kazi kwa kujisikia,ile spirit wa liyokuwa nayo mwanzo inapungua kwasababu ya kujiona na wao ni sehemu ya wenyeji wa hiyo nchi!.
2.Kutumia kipato kikubwa kuliko wanachokipata kwakuwa wanajua kazi zipo tu za bwelele!
3.Kutumia pesa kubwa kwenye Nyumba za kiwango cha juu na wanashindwa kubana matumizi kwenye nyumba za kawaida kwasababu unakuta wameshatengeneza marafiki na hivyo kudhani watachekwa!
4.Wengi kuadapt maisha ya Nigerians ambao wengi hupenda starehe na kutumia pesa ovyo,hivyo nao hufuata mkumbo ili wasichekwe na wenzao hao Nigerians
5.Wengi hutumia pesa kubwa (Hasa wanaume) kununulia papuchi!
6.Wengi kutaka kununua magari ya bei kubwa,kitu ambacho ni hatari kwa kodi na Insuarance!
Hayo ni baadhi ya mambo niliyoelezwa,sasa sijajua kama yanaukweli!
Upo nchi gani chiefHahaha mkuu. Karibuni nauleta uzi wa kuosha vyombo yani bonge la contract sitasahu kukutag. Kwa ufupi tu nilistop kuosha vyombo kwa muda lakini narudi kwenye game Dishwashing na kitchen assistance.
Nimekua nafanya black job cash in hand. Amini usiamini mwezi wa sita na sana mwaka huu nilifanya masaa 1000 nakulipwa kwa saa 180 ddk kuna mzee mmoja tajiri ana shamba kubwa la miti.
Yani huyo mzee kumaliza kazi tu jioni anakudakishia madaf kama 70k- 80k madafu kwa saa.
Ana kazi nyingiii million of jobs hadi za kuokota matakataka. Ila ni during summer.
Mkuu mzanzibar siyo Mtanzania,hili likuingie kichwani kuanzia leo!