Wabongo wengi hawafanikiwi Majuu kwasababu ya Tabia wanazotoka nazo Bongo wanadhani na wazungu wanatabia hizo

Tofauti kubwa kabisa ipo katika Mifumo ya Maisha, Utamaduni, Mila na Desturi.
1. Mfumo wa Maisha ktk nchi za Magharibi Umejikita kwenye Ubepari au Uliberali, wakati Waafrika Wengi zaidi (with exceptions of few) Mfumo wao wa Maisha Umejikita kwenye Ujamaa.
2. Watu wa Magharibi Umejikita kwenye Matumizi Bora na ya hali ya juu zaidi ya AKILI(ELIMU), MIPANGO NA MIKAKATI MADHUBUTI KABISA. Waagrika wengi zaidi, (almost all) Mfumo wao wa Maisha umejikita kwenye BAHATI NASIBU, KUDRA ZA MUNGU na Kutegemea Miujiza.
3. Watu wa Magharibi Wana Utamadumi wa NIDHAMU YA HALI YA JUU ZAIDI karibu K atika nyanja zote za Maisha yao. Nidhamu ya Hali ya Juu zaidi kwenye Matumizi ya Pesa na Rasilimali zingine zote walizonazo, ikiwamo na Radilimali MUDA (Time). Kwa Upande wa Waafrika, hali ni tofauti kabisa (kinyume) na utaratibu huo wa watu wa Magharibi.
Hizi ni baadhi ya Tofauti za Maisha Ambazo Mimi binafsi nilizi-notice kwenye mifumo ya maisha ya kila siku kati yetu sisi Waafrika na Wao (Westerners).
 

Mkuu mie nilifika SIX ila nilifeli,hivyo natumiaga cheti cha Form 4,Je nikija huko naweza jiendeleza?,Hasa napenda sana kusomea mambo ya Community Health
 
Jamani hebu nipeni connection ya kufika hapo tyuuh, tena mnipe mwezi m1 baada ya hapo nasimama mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mie nilifika SIX ila nilifeli,hivyo natumiaga cheti cha Form 4,Je nikija huko naweza jiendeleza?,Hasa napenda sana kusomea mambo ya Community Health
Uzuri hapa nafas za shule za kumwaga. Ila hizo nafas za health zina competition sana. Ziko demanding
 
Ulivyoongea vingi ni Op, ughaibuni sio kama zamani mzee wangu, anyway karibu uje tupambane na box
Hivi mkuu hii kupiga box manake ni nini haswa i mean hii huwa ni kazi inaitwa hivo? Naomba maelekezo tunduizi tafadhali
 
Mimi nipo Texas apa nakunywa bia bingwa njoo unipige kamoja basi.
 
Mkuu mzanzibar siyo Mtanzania,hili likuingie kichwani kuanzia leo!
Mi mwenyewe nikiendaga Zanzibar naonaga sipo bongo, mara mia nikiwa Nairobi nafeel home kabisa kuliko nikiwa Zanzibar aisee
 
Ni kweli wabongo wana matatizo sana na ndiyo maana hata nikiwa nje ya nchi sipendi kuwatafuta au kuwajuwa.....wana ujinga wa Kiswahili mno. Mtu anatoka Tanzania anakwenda Marekani anatafuta watanzania wenzake ili waongelee masuala ya bongo fleva au ujinga wa Manara, imagine yuko nje ya nchi hapo anataka kujuwa Manara anafanya nini au Diamond kamchiti Zuchu na nani. Yaani wabongo hawakuwi hata kidogo.
 
Jamani hebu nipeni connection ya kufika hapo tyuuh, tena mnipe mwezi m1 baada ya hapo nasimama mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahyo hoja ni moja tu hapo..wana matumiz mabaya ya pesa.si ndio.
 
Upo nchi gani chief
 
Mbona kuanzia hyo number 2 na kuendelea hayo ndio maendeleo yenyewe ama mnataka maendeleo gani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…