Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

Da mange anasemaje? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
sasa wewe lini ulisikia wabongo wakawa na msimamo? Yaani wanakera ila nahisi wanaharakati wakiacha kuwaongelea na kuwatetea watanganyika wakafanya mambo yao, halafu mama la mama akaongeza upendo(elewa neno upendo) kwao, wataandamana wenyewe bila kushawishiwa!
 
Waache wasanii wafanye Kazi na wapige hela

Wasanii hawana kosa wamefanya mpaka sasa.

Nyie tuliwaambia kuwa 29/10 msijaribu Ku-battle na Serikali mtaumizwa Ila hamkusikia.

Mkasema jeshi litawalinda yaani jeshi la ccm linawalindaje

Kwahiyo kuwalaumu wasanii ni ujinga mwingine
 
Unaumia dini ,hizo kura za tunzo kuzi mmepiga hat laki hazijafika ..

Sasa nyie watu hata asilimia 10 ya watanzania hamjafika ila mnataka kuathiri shughuli zote ,,lazima vibaka mpigwe mpaka mfe...Acha maisha yaendelee kila mtu atafute riziki yake..

Siasa za chuki ni uthenge wenu.
 
Hujitambui
 
Watu wanaambiwa wawapuuze wasanii uchwara wasi-like wala ku-comment kwenye post zao lakini unawakuta wanaenda kubishana nao hata kama wanawachukia kweli. Ujinga ni mzigo sana. Kazi anayoifanya Mange na wanaharakati wengine ya kuwaelimisha wajinga ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…