Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Ni kweli kabisa.
Unakuta mtu kajilipua ukimbizi ananyimwa kazi hawezi pata ni kuishi maosha ya shida hadi anazeeka hata akirudi TZ watu wanashangaa tu.
Wenzetu wanaigeria wako sharp sana na huwa wanalenga kupata pesa kubwa kubwa.Sisi tuko slow sana.Mnigeria akisema nimejenga nyumbani sio nyumba no mansion
 
Sasa ilo BMW utalipaki wapi sister?? Si unajua chakala chakala mikoroshini ikianza kila mtu na wake tutaibiwa ndinga ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣Utasikia wahuni shemeji yenu Hana simu,,,sijasikia miluzi.....wee wahuni hapo wanaweza ng'oa hata tyre la bmw
 
Ungesema baadhi ya............
Ukweli ni kwamba wengi waliotoka kwenye zile familia zenye kujiweza..........
Lakini kwa siye masikini tusiochagua kazi....alhamdulilah tunamshukuru mnyaaaz'mngu.
 
Ungesema baadhi ya......
Kwa sie wa hali za chini.....alhamdulilah tunamshukuru Mungu
 
Kama wamekataa kukutoa out pole ndugu tafta pesa zako
 
Utakuta ni apeche alolo moja hivi toka huko kazuramimba , si unajua siku hizi smart phones used bei chee na ID Fake humu ,basi tabu tupu
 
Huwa wakinyimwa visa au wakiwa deported ndiyo wanavyokuwa. Wanachukia kila kitu related to those countries
 
🀣🀣🀣Utasikia wahuni shemeji yenu Hana simu,,,sijasikia miluzi.....wee wahuni hapo wanaweza ng'oa hata tyre la bmw
🀣🀣🀣🀣 hataree
Msaga sumu pembeni, mbona pambeeeeπŸ‘Œ
Watuwacheee wazaramo sieeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…