Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha 😳😳😳Wacha sifa we mshamba, wenye hela hawajinadi namna hiyo.
Humu kuna kina Ridhwaan kikwete, kina Bashungwa, kina Bakhresa Jr's, wajukuu wa Asas, kina Abdiel Mengi na vigogo kibao! Ila hawajishaui kama wewe mpumbavu na kiakaunti chako cha salary account cha CRDB... au unajisemesha uwaoshee majimama humu?! Huna lolote mwanetu we ni KENGE tu!
Marekani ya leo unaweza ukafanya kazi zaidi ya tatu na ukashindwa make ends meet. Do your own research. Ukiumwa ulipelekwa hospitali na ambulance ni dola 10000. Kama hauna bima ya afya inayoweza kucover matibabu yako unawekwa kwa life support lakini hautibiwi. Leta uthibitisho kubwa niliyoyasema ni ya uongo !!
Tajiri pm kuna nini tena??Njoo P.M tafadhali
Eee ndio TAFUTA PESA km shemeji TUKANA UONE 😂😂😂Kweli lakn 😭😭
Maisha ni magumu Marekani!wengi wa marekani wakija hapa wanashangaa waafrika wanaomiliki nyumba,kule ni mwendo wa kupanga!Acha kudanganya vijana kutoboa ni hapahapa.
Ha ha ha TUKANA UONE shemeji wameitana huku kukushusha vyeo 🤣🤣🤣🤣Huu mwandiko wa huyu boya TUKANA UONE ni kama wa huyu kiazi Mpwayungu Village .
Napiga miguu yote miwili, utaniweza?🤣🤣🤣 me sitaki likes, nataka fwedhaa
Geuza likes ziwe pesa uje mezani tuongee 🤸♀️🤸♀️
Wengine hivyo vizinga sasa halafu kila dakika in new york this in Miami that
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.
Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio
Labda huko Merelanimbona mie nipo marekani na nikirudi tz sivai miwani za kuchomelea mageti..
kwani shida iko wapi kiranga?. ya nini ujisumbue kumpiga tofali?. atahisi unamuogopa, kwa hapa jf kumpiga mtu tofali ni shortcut ya kukimbia mjadala.Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Next.
Unataka hao watoto 10 awe nao kwa mara moja? Pengine bado anaongeza, unajua umri wake?Ndio ni kichekesho lakini ni maisha mazuri tofauti na yale tuliyokuwa tunaishi huko
Sijamaanisha ni maendeleo makubwa ingekuwa nasifia maendele ninhekuwa hata na kiwanda cha samaki pale mwanza, au kiwanda cha kuchambua pamba
Mchizi karudi hana kitu kaja kuanza maisha, kaacha mpaka mtoto
Kuna wanaorudi na visukari tu na stress kibao
Naridhika sababu maisha yanasonga bila vurugu mpaka sasa
Mambo mengine ni taratibu za nilivyojipangia siwezi sema miradi yangu inayonipa kuishi my be baadae naweza kusema mradi wangu kama kutakuwa na umuhimu huo
Nilichoongea ni mfano tu, kwani hata watoto kwnin usicheke mbona vitoto viwili tu, nilidhani una watoto hata kumi?!!
Sababu chochote unauwezo wa kukosoa mkuu hata kiwe kimekamilika,ila ukiamua unaweza kukosoa
Jamaa yangu alistajabu hali aliyonikuta nayo(ndio hivyo tu)
Ili ufike kenya kuna changamoto gani mpaka upatolee mfano?Kwa maongezi yako tu hata kenya hujafika
@EllydUkihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
Kuna jamaa anamaneno ya kashfa sana yuko Canada anajiita ellydavid asijeakauona uzii huuUkihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!