Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Ha ha ha 😳😳😳
Shem TUKANA UONE hohehahe anakuita kenge etii!!
Sasa mkuu niunganishe na rizi moko kwanza kuna kero huku chalinze nataka nimwambie atutatulie 😜
 

Hii ni uongo! Kuna bima ya afya ya mpaka dollar 50 kwa mwezi na ukiumwa unatibiwa vizuri tu.
In case kama huna bima ya afya unatibiwa then unapewa bill yako baade ulipe kidogo kidogo
 
Maisha ni magumu Marekani!wengi wa marekani wakija hapa wanashangaa waafrika wanaomiliki nyumba,kule ni mwendo wa kupanga!Acha kudanganya vijana kutoboa ni hapahapa.

Mbona sasa wabongo wengi wanalia maisha yamekua magumu tangu mama aingie madarakani?! Mfumuko wa bei, umeme wa mgao, bei ya Petrol na diesel kupanda n.k
 
Marekani ukiwa na Gereji ya Magari bila shaka wewe utakuwa Makenika,unaenda kuzoa majararani magari mabovu yaliyotupwa unakuja kuyaripea unauza ili upate chochote!.


Aisee kama hiyo ndiyo kazi inayokuweka huko basi bado unasafari ndefu ya mafanikio

Una exposure ndogo sana ndio maana unabwabwaja vitu usivyojua. Kwa kifupi manual skills job kama mechanic, plumbing, carpenter nk zinalipa sana tu kuliko hata baadhi ya white color job.
 
Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Next.
kwani shida iko wapi kiranga?. ya nini ujisumbue kumpiga tofali?. atahisi unamuogopa, kwa hapa jf kumpiga mtu tofali ni shortcut ya kukimbia mjadala.

mbona kazi ndogo sana, mtishe kidogo kwa kumuwekea screenshot ya miamala yako ya kibenki. sehemu zinaonyesha account number na detail zingine, unaweza kuzi-filter, la misingi ionekane miamala tu.

miaka flani huko nyuma hapa hapa jf nikiwa natumia ID tofauti na hii, niliwahi kufanya hivyo nilipokuwa nabishana na bwege mmoja hivi. baada ya kumuwekea screenshot ya bank statement yangu, akapotea mazima, hakurudi tena.
 
Unataka hao watoto 10 awe nao kwa mara moja? Pengine bado anaongeza, unajua umri wake?
 
@Ellyd
 
Kuna jamaa anamaneno ya kashfa sana yuko Canada anajiita ellydavid asijeakauona uzii huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…