Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Achana na huyo poyoyo shamba ukute linafanya kazi halmashauri ya chato au kilwa linajiona limemaliza Kila kitu.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Kama umegoma kuzoa taka kwa PM basi Njoo inbox nikupe nambari za balozi mmoja hivi kaoa ila hajaoa kiviileeπŸ˜‚πŸ€£
Balozi wa wapi tena huyo? Me nataka kwa PM bhana me team NABAKI AFRICA km shemeji yangu tukana. Sitaki kuwa diaspora nianze kuzurura ulaya km yatima 🀣🀣🀣🀣
Si eti shem TUKANA UONE
 
Hili ni tatizo jingine ambalo sisi tunalo kama taifa.

Wazungu wengi ughaibuni humaliza vyuo vikuu wakiwa na wastani wa miaka 23.

Hapo ni kuondoa zile gap years ambazi ni 18-19

Yaani A level miaka 17/18 na kijana aanza uni akiwa na miaka 18

Vijana wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu kule mwaka huu waloanza september wana miaka 18.

Hivyo ukienda na umri wa kuanzia miaka tuseme 20, weye unakuwa upo nyuma sana kwa kila kitu na kama umeenda kishule basi utapata mtikisiko.
 
Dalali Maarufu muuza viwanja wa Chalinze...Kamaliza vya Kisarawe kaamia vya huko Sasa😁😁😁😁
🀣🀣🀣🀣 Yani nimecheka mpk machozi
Sisy njoo tuwahi vya Ruvu kabla hajahamia kwingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afrika ukikomaa hauchelewi kupata mtaji wa kuwa na boda boda tuu Nje kuna mitaji na unakuja kuwekeza Afrika mtu mwenye Njaa ya mafanikio Nchi zilizoendelea ni sahihi kwake kwa kuchanga...
Zile bodaboda weye wazikabidhi kwa vijana na wao wakuletea kiasi fulani mtachokubaliana kila mwezi.
 
Kuna Handymen ,wale wanaofanya kazi za repair ndogo ndogo wanatembea na trucks zao kwa shughuli hizo ,wake hawana kampuni ,wale ni independent single people , hata kwenye Craig list wapo wengi mno na kazi ni nyingi ,mfano kufix heating and air conditioning , indoor plumbing , Electrical systems , carpentry nk
Si lazima uwe na kampuni kama unavyodai .
Kuna single independent contractor au Handymen kama hao ,na bado wanapata pesa ndefu tu .
 
Wao wamekwenda kutafuta Umarekani hawakwenda kutafuta maisha hiyo ndio shida ya bongo kwa hivyo wacha wakule unyamwezi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…