Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kusema kweli ni burudani tosha. Bongo raha sana 😁Yeah.
Huo mgao ni moja ya raha za home.
Au kuna nchi nyingine ushawahi ona mtaa mzima wamashangilia 'HUOOOOOOH' 😂🤣😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli ni burudani tosha. Bongo raha sana 😁Yeah.
Huo mgao ni moja ya raha za home.
Au kuna nchi nyingine ushawahi ona mtaa mzima wamashangilia 'HUOOOOOOH' 😂🤣😁
😁🤣😂 inachekeshaga sana😂Kusema kweli ni burudani tosha. Bongo raha sana 😁
Achana na huyo poyoyo shamba ukute linafanya kazi halmashauri ya chato au kilwa linajiona limemaliza Kila kitu.Wacha sifa we mshamba, wenye hela hawajinadi namna hiyo.
Humu kuna kina Ridhwaan kikwete, kina Bashungwa, kina Bakhresa Jr's, wajukuu wa Asas, kina Abdiel Mengi na vigogo kibao! Ila hawajishaui kama wewe mpumbavu na kiakaunti chako cha salary account cha CRDB... au unajisemesha uwaoshee majimama humu?! Huna lolote mwanetu we ni KENGE tu!
[emoji38][emoji38][emoji38]you cant hold me back,mwezi wa 4 mwakani nawaacha na CCM yenu,sirudi hadi mtoto wa dada awe anaolewa(now ana miezi mitatu)..
Balozi wa wapi tena huyo? Me nataka kwa PM bhana me team NABAKI AFRICA km shemeji yangu tukana. Sitaki kuwa diaspora nianze kuzurura ulaya km yatima 🤣🤣🤣🤣Kama umegoma kuzoa taka kwa PM basi Njoo inbox nikupe nambari za balozi mmoja hivi kaoa ila hajaoa kiviilee😂🤣
Hivi kitwanga aliwahi kuutwanga akiwa bungeni, akawa analipuka tu kujibu maswali ya wabunge 😂😂😂Hata hapa Dar watu wanatumia madawa ya kulevya na ni ma Dr,mawaziri maenigneer n.k
Hili ni tatizo jingine ambalo sisi tunalo kama taifa.Mtu wa miaka 25 sio mwanafunzi huyo? Ugenini ni ugenini tu sio kwao na kama ulivyosema wengine hawana uhalali wa kuishi huko, basi hata kujikimu itakuwa ni kwa kuunga unga.
Na mipango ya mtu huwezi ijua, kama ameamua maisha yake yote yawe huko, Tz atakuja kuwekeza nini? Itamlazimu awekeze sehemu mbili, na hapo maisha yatakuwa magumu.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Dalali Maarufu muuza viwanja wa Chalinze...Kamaliza vya Kisarawe kaamia vya huko Sasa😁😁😁😁🤣🤣🤣 maake kwanza ncheke
Sisy Kantri hana uzito wowote ni dalali mmoja hivi msumbufu.
Kabisa.Kwa kweli hapo kwenye kabila ndio tatizo,tuendelee kumkumbusha hivyohivyo kwamba ana passport ya kibalozi,atatulia kidogokidogo
🤣🤣🤣🤣 Yani nimecheka mpk machoziDalali Maarufu muuza viwanja wa Chalinze...Kamaliza vya Kisarawe kaamia vya huko Sasa😁😁😁😁
Zile bodaboda weye wazikabidhi kwa vijana na wao wakuletea kiasi fulani mtachokubaliana kila mwezi.Afrika ukikomaa hauchelewi kupata mtaji wa kuwa na boda boda tuu Nje kuna mitaji na unakuja kuwekeza Afrika mtu mwenye Njaa ya mafanikio Nchi zilizoendelea ni sahihi kwake kwa kuchanga...
Kandokando ya mto tulime mpunga🤣🤣🤣🤣🤣 Yani nimecheka mpk machozi
Sisy njoo tuwahi vya Ruvu kabla hajahamia kwingine 😂😂😂😂😂
Maana kubwa ni kwamba hana exposureIli ufike kenya kuna changamoto gani mpaka upatolee mfano?
Wao wamekwenda kutafuta Umarekani hawakwenda kutafuta maisha hiyo ndio shida ya bongo kwa hivyo wacha wakule unyamwezi .Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
#Hakikakweli kama sikweli, wapo ambao wamebaki bongo miaka yote na bado wanashindwa saidia hata familia,
popote kambi mkuu
Hiyo tafiti kwa wote au watu unaowafahamu wenye mind kama yako?
🔨