Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona mie nipo marekani na nikirudi tz sivai miwani za kuchomelea mageti..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona mie nipo marekani na nikirudi tz sivai miwani za kuchomelea mageti..
We leta matusi ya rejareja tu, hapa ndo kwenyewe... shauri yako 😊😊😊Tatizo lako unataka nikugonge halafu nikulipe!.
Gari yangu si yakugonga niya kutembelea!
Nafikiri ungesoma ulichoandika na ndio nilichobold ungeelewa.Utajulia wapi mambo ya Magari wakati hata ukoo wenu hamna hata Guta?
Bibi zako na Babu zako walizoea kusafiri kwa Ungo na Fisi,sasa Bima utalijulia wapi?
😂😂😂 nijulie wapi shemeji me naishi bonyokwa, ila tukana kasema unaishi kwenye tuapertment km kota za polisi ndio nikakuita uone.Watanzania bado hamjaacha mtindo wa kuishi kwa kuchunguza maisha ya watu tu?
Mimi nipo naangalia Hedge Funds huku.
Unajua Hedge Fund ni nini wewe?
Nasikia Handymen au mafundi wa kitaa kama plumbers wanapesa ndefu kuliko Proffessional white collar menUnapofika nchi kama marekani/Canada/Uk kwanza unatakiwa ujue wapinzani wako ni kina nani, Usiende na kidegree chako cha UDSM na GPA yako ya 4.5 ukadhani watakushobokea mzee, USIENDE HIZO NCHI KUTAKA KUFANYA KAZI ULIYOSOMEA, UKIBAHATIKA KUIPATA "shukuru" pili ukipata jua UJIRA ni mdogo
Mtoto wa "High school" anafanya kazi bank ambazo CRDB wao wanaajiri mwenye GPA ya 4.0
Usijilinganishe na mzawa wa hizo nchi hata siku moja
Kazi zenye malipo zipo nyingi sana, ambazo haziitaji elimu
Kijana subiri kwanza nipate msosi ndo uje unieleze takwimu zako za kiuongo na kweli !Nafikiri ungesoma ulichoandika na ndio nilichobold ungeelewa.
Gari imeitwa "bimmer" wewe unasema "bima" na unataka nikuunge mkono kwa ujinga wako wa kutokujua sasa kama gari ni bima na bima unayokata kwa ajili ya gari itaitwaje?
Pia tukirudi kwenye mada diaspora walichangia $1.1 bn ya remittance sawa na trillion 2.3 kwa mwaka 2022, kitakwimu asilimia kubwa ya fedha hizo zilitumwa kutoka kwa diaspora wa nchi ulizoziponda haswa US.
Kijana tafuta pesa umiliki mchuma achana na wachimba chumvi hao wasiojua lolote kuhus mandinga!Kama ni second hand Yaani sio mpya wakati unaonunua hiyo ni mtumba , hujamwelewa mtoa comment
Akuunganishe wapi mluga luga huyo?😂😂😂 nijulie wapi shemeji me naishi bonyokwa, ila tukana kasema unaishi kwenye tuapertment km kota za polisi ndio nikakuita uone.
Me najua wewe mtu mzito, vipi sasa yule rafiki ako uliyesema utaniunganisha naye 😜
Hiyo miezi sita ulikuwa umeenda kusomea nini ?Uko sawa kabisa. Mimi nimeishi Washington DC kwa muda wa miezi sita kama mwanafunzi kwa kweli maisha ya Marekani ni magumu sana. Ni vigumu kuweka akiba. Tunasema ni Hand to mouth. Hakuna cha bure. Mshahara wako unaoupokea unakwisha wote mwisho wa mwezi. Wenzetu wa Ubalozini kwetu ni watu ambao hawawezi kukukaribisha kwake kutokana na ugumu wa maisha. Kuna bar moja ya mtu wa Kenya inayoitwa Kilimanjaro ndo mara chache sana mnakutana na waafrika wenzako. Ndugu yangu ogopa kwenda Marekani kama Ukoma kule siyo mahala pa kwenda hata kama unapata $8,000 kwa mwezi. Hakuna rafiki. Rafiki yako ni pesa yako na passport yako.
Halafu unakuta ninyi ni wazee vikongwe wa miaka 60 + kabisa , ila jamii forum bhana ! , si mtangaze mahali mkutane mzitwange ngumi kavu kavu kila mtu aridhike ? ,Au unaonaje ?Tatizo lako unataka nikugonge halafu nikulipe!.
Gari yangu si yakugonga niya kutembelea!
🤣🤣🤣🤣 kweli shemeji??Akuunganishe wapi mluga luga huyo?
Mkuu usifananishe watu wenye maisha yao Marekani na wale wasio na makaratasi, kuna utofuati hapa. Ukiwa hauna makaratasi popote pale duniani hata kutoboa inakuwa ishu kwa sababu hauna uhuru wowote na haki. Sijuwi wewe unawajuwa Watanzania wa wapi labda sema tu unataka kufurahisha genge hapa. Watanzania niwajuao mimi waishio Marekani wengi tu wana maisha mazuri huko na nimeona waishipo na maendeleo yao kiujumla nimeyaona.Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku!
Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!.
Ninawafahamu jamaa kadhaa wanaoishi huko tangu zamani na hakuna walichofanya cha maana kwenye familia zao(Wazazi) hapa Tanzania,wengi huwa wanarudishwa kipindi cha matatizo tu lakini huwezi kuwaona wakiwa wanarudi kipindi cha furaha kuwasalimia ndugu zao.
Watanzania wengi wanaoishi nchi za Scandinavian huwa wamerekebisha makazi ya wazazi wao na pia huwa wamejenga nyumba za kifahari ili wanapokuwa wanakuja likizo basi hufikia huko,siyo nyumba tu bali huwa na usafiri mzuri!.
Hii ni tofauti kabisa na wabongo wanaoishi Marekani,Canada na UK,hawa huwa wanarudi makwao endapo Baba au Mama ni mgonjwa au amefariki kabisa,na huwa wakija hata vaa yao inatia mashaka!.
Huwa wanapenda kuvaa miwani mikubwa kama wachomelea welding na kujifanya kuishangaa Tanzania kana kwamba ni chooni!,Unakuta hata hela ya kuwatoa marafiki zake tu Out hawana zaidi ya kujiongelesha blah blah na masifa kibao!.Wengi wamechoka kimuonekano,Sura hazina nuru na mionekano yao imefubaa!.
Ukiwauliza wanabaki kusingizia Marekani Kodi ni kubwa na Ishu za Bills zinabana kila kona,Unabaki kumshangaa kana kwamba huko Marekani ni yeye tu ndiye Bills hupewa kubwa!.
Wabongo wengi wanaoishi Marekani na Canada waliofanikiwa huwa ni kuanzia Umri wa Miaka 50 - na Kuendelea,hawa ndiyo angalau huwa wamejenga makwao na hata hujitahidi kuprovide kwenye familia zao.
Ila hawa wenzangu na mie kuanzia miaka 25 - 45 huwa hawana cha maana zaidi ya blah blah na ngonjera kibao huku kila muda wakipiga simu na kusimanga serikali na kuwakashifu ndugu kana kwamba wanaishi kwenye vyoo!.
Wengine tunawafahamu wamekwenda huko miaka ya 90 lakini hadi leo ni kuzurura tu hawana paper!.
Any way:
Ukitaka kuona walivyo na hasira,wewe soma comments!
Waarab wana visima vya mafuta ama vituo vya petroli? Kumiliki kisima cha mafuta Uarabuni si kweli kwani visima vyote ni mali ya ukoo wa Kifalme, tofautisha kisima cha mafuta na kituo cha mafuta. Tatizo la kukariri vitu ni hili, yaani toka mkariri dini za watu mnakariri mpaka story za vijiweni?🤣🤣🤣🤣 kweli shemeji??
Kiranga tajiri ana marafiki zake waarabu wana visima vya mafuta!!
Huyu dogo huenda ana rafiki Marekani kaja Tanzania na kutaka kumkopa hela kwa lengo la kutomlipa, kanyimwa na sasa amekasirika ameamua kumchafua rafikiye.Baada ya kunyimwa mzinga madongo tayari
Tanzania bwana, yaani kuendesha BMW tena used ni fahari kumbe?Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!
hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!