Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

kaka unajua jeuri wanaipata wapi kiasi kushindwa kukiri kosa mbele ya Baraza Kuu la chama chao. mzigo wanao na si wa kitoto.
 
Mdee na wenzake watashinda kwa kishindo
 
Ndiyo maana ccm ukijifanya unakumbilia mahakaman unafukuzwa uanachama haraka sana hlf ndiyo uendelee na hiyo kesi yako sijui utasimama na nan na wakati tayari siyo mwanachama
 
Hamjui tu. Anayeihujumu CHADEMA noi Freeman Aikael Mbowe. Mbowe pia yuko nyuma ya hili sakata.
 
Huo unabii wako ni feki kwani kwanza sasa hivi vyesi havitakiwi kukaa muda mrefu mahakamani na mahakama haiwezi kupingana na katiba ya chama chochote cha siasa.

Hivyo uamuzi wa kuwafukuza hao wanawake utabaki palepale kwa sababu umefanyika kwa kufuata katiba ya chama cha Chadema hivyo nyie huko ccm kama mnawataka hao wanawake basi mnaweza tu mkawachukua.
 
Ndiyo maana ccm ukijifanya unakumbilia mahakaman unafukuzwa uanachama haraka sana hlf ndiyo uendelee na hiyo kesi yako sijui utasimama na nan na wakati tayari siyo mwanachama
Mimi kinachoniuma ni je? Tutaendelea kuwalipa tzs 3bilion Kwa mwaka wakati kesi ipo mahakani!? Huku baadhi ya shule hazina madawati!?
 
Kesi za JUDICIAL REVIEW sijawahi kuziona umuhimu wake, iwe CERTIORARY,MANDAMUS au PROHIBITION zinarudishwa kwenye body au taasisi zilezile zilizosikiliza
Kesi za JUDICIAL REVIEW sijawahi kuziona umuhimu wake, iwe CERTIORARY,MANDAMUS au PROHIBITION zinarudishwa kwenye body au taasisi zilezile zilizosikiliza
Siyo CERTIORARY ni CERTIORARI
 
Well and good .... Kwani madhumuni ya chadema ni nini? Kuwafuta uanachama hao covid-19 .... hayo mambo ya ubunge ni njaa zenu za matumbo yenu ....
Pascal unashabikia haya mambo kama wajinga wajinga .... after all what do you gain by these acts of infidelity... foolish kabisa
 

Naona ni muda sasa unalazimisha kuwa kuna mtu mnene aliwasainia akina Halima hiyo barua. Huu ni uzushi kama uzushi mwingine, na kwakuwa umejikita kwenye uzushi ndio unapoegemezea hoja zako na nongwa zako zote. Hakuna aliyemkataza Halima au yoyote wa Covid kumtaja huyo mtu. Je unaweza kutusaidia huyo mtu mnene wa cdm ndie aliyemtoa Nusrat Henje gerezani usiku ili akaapishwe?

Cdm hata kama ikitokea wakapeleka wabunge wengine sio kwakuwa wanatambua matokeo yale kuwa ni halali, bali ni kwa ajili ya kupata vijisenti vya kuendeshea shughuli za chama chako, na sio zaidi ya hapo. Na hao akina Halima Mdee huko mahakamani hata wakitaka wakaishi na familia zao sio kwenda kudai haki, maana mahakama zetu sio sehemu ya kudai haki tena, bali ni sehemu ya kwenda kufanyiana mizengwe, hila, na kupitisha mipango michafu kwa mlango wa sheria.
 
Kwani wakishavuliwa uanachama ni jukumu la SPIKA kuulizia apate ufafanuzi kutoka chama kilichoandika barua? Au ndiyo hiyo delaying tactics?
 
Imechukua mwaka na nusu kuitisha Baraza Kuu. Kesi ikiunguruma hadi 2024 na uamuzi ukatolewa mfano Dec 2024, Baraza litaitishwa June 2026!!! Kwa kifupi hawa Covid 19 watakuwa wamemaliza miaka 5 wakiwa Bungeni. Tuombe haya mambo yaishe mapema ili CHADEMA waweze kuendesha siasa badala ya kuwa wanaendesha kesi kila kukicha.
 
Athari za ujinga huu ndio zinammaliza Samia katika juhudi zake za kuleta maridhiano na Chadema.
Anajivua joho mwenyewe na kukaa bila nguo
Chadema ni kitu gani hata wasipokuwepo kutakuwa na hasara gani?
 
Kesi hiyo itaenda hadi 2025
 
Ndugu UKWELI hauch
UKWELI hauchangamani na UONGO. Yaani taaluma Yako ya Sheria uitumie KISIASA Kwa maslah ya CCM! Usijitoe UFAHAMU ngugu kupotosha.

Masuala ya Uanachama ktk vyama vya siasa au soka hayapelekwi Mahakamani. Ukifukuzwa na Baraza kuu hupeleki shauri Mahakamani.


Zitto Kabwe aliwahi jaribu kwenda mahakamani akaondoa KESI mwenyewe. Ukiaminiwa na watu tafadhali waambie KWELI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiambiwa chadema ni genge la wahuni uwe unaelewa!

Subiri ujionee
 
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Huyu sijui akili amepeleka wapi! Mwanzo mwisho ni kutetea Covid 19, aungane na Spika Tulia anayejaribu kufanya delaying tactics kwamba eti ataandika barua kuwauliza Cadema ufafanuzi wa barua yao waliyomwandikia kuwafukuza uanachama. Sijui CCM Wana interest gani na Hawa Covid 19.
 
Mahakama ndicho chombo pekee cha utoaji haki ndani ya JMT.
It's very unfortunately katiba ya Chadema, haikitambui hilo!.
P
Katiba ya CCM inatambua Hilo? CCM iheshimu maamuzi ya vyama vingine mbona wao wakiwafukuza wanachama wao hawaendi mahakamani? CCM inajimaliza Kwa kukumbatia mambo ambayo siyo yake
 
TULIA ACKSON ANADHALILISHA SANA UKRISTO, ULOKOLE WAKE PAMOJA NA KANISA LAKE LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ( T.A.G).

ANAMINYA HAKI BILA AIBU NA KANISANI ANAPEWA SITI YA MBELE.
Watu aina yake ndio wanakua Kuni huko motoni.
 
Hua nashindwa kuelewa hv Tz mtu ukiwa kiongoz akili hua zinaenda wapi?Mbowe hapo kachemsha na cdm nzima ,wanajua kabisa hao wabunge hawawez kutolewa,wao wangewasamehe afu wajipange 2025 waachane nao,
Huo sio utaratibu. Chadema wako sahihi kusimamia haki. Ukiwasamehe hawa kila mmoja atafanya atakalo akitegemea msamaha.
Hawa wamama wanatakiwa washtakiwe. Sio kufukuzwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…