Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

TULIA ACKSON ANADHALILISHA SANA UKRISTO, ULOKOLE WAKE PAMOJA NA KANISA LAKE LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD ( T.A.G).

ANAMINYA HAKI BILA AIBU NA KANISANI ANAPEWA SITI YA MBELE.
Wewe sijui unaongea Nini? CCM wameiba kura mpaka wanaweka kura bandia, kupitishina bila kupingwa na uchafu kibao wa ushindi lakini kesho take tu wako makanisani na misikitini wakimwomba "Molla", Kama vile walichofanya dhulma ya kujeruhi watu na kuua ni kitu kidogo, halafu wewe unasema Spika Tulia anakaa mbele kanisani? Huwajui hawa?
 
Your own recollection is rubbish, mr. Pasco!
 
Kama CCM inawathamini basi iwachukuwe kabisa.Kesi ya taraka kwa majirani inawahusu nini?
Hakuna haja ya Covid-19 kugangania ubunge wa dezo aka viti maalumu. Uongozi wa Chadema umetamka wazi tena kwa kupiga kura,wamewafuta uanachama.
 

Paskali ana nongwa na cdm, sasa anaumia sana yakifanyika maamuzi ambayo hayabebi uzushi wake. Hana lolote analopata, ila nafsi inamuuma yanapofanyika maamuzi ya kitaasisi asiyoyapenda. Nashangaa anajisifia ni msomi lakini hawezi kuanzisha chama chake akifanye kiwe bora, yeye anahangaika na vyama vya wenzake wenye uthubutu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiambiwa chadema ni genge la wahuni uwe unaelewa!

Subiri ujionee

Nikiambiwa cdm ni genge la wahuni inapaswa nikubali, na anayeniambia ni Paskali, yeye mwenyewe anategemea kujipendekeza na kuichafua cdm ili apate uteuzi!
 
Ivi kweli wabunge 19 wa chadema kwenda Mahakamani kutetea ugali wao wali hitaji vigogo wa CCM kuratibu!!! Yaani mnatuona watanzania wote ma mbumbumbu?
 
Yes na Wao wanaenda mahakamani kuchalange utaratibu uliotumika kuwaondolea Uanachama na Respondent atakuwa ni The Board of trustees of Chadema tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hilo suala la akina Mdee wala halimuumizi Paskali, yeye anaumizwa na maamuzi ya cdm, kwani hayaendi sawa na matamanio yake. Kwa ujumla cdm inamtesa sana Paskali.
Baladala apambane wamwone wampe kacheo,anahangaika na chadema ambao anatamani wasiwepo kwenye siasa za bongo kama walivyo wanakijani wenzie🏃
 
Ivi kweli wabunge 19 wa chadema kwenda Mahakamani kutetea ugali wao wali hitaji vigogo wa CCM kuratibu!!! Yaani mnatuona watanzania wote ma mbumbumbu?
Hii habari imepostiwa hapa kama tetesi, itriti hivyo, Kama wewe ni mmojawapo wa Watanzania ambao siyo mambumbumbu!
 
Baladala apambane wamwone wampe kacheo,anahangaika na chadema ambao anatamani wasiwepo kwenye siasa za bongo kama walivyo wanakijani wenzie🏃

Cdm ndio yenye mvuto, hivyo akiichafua ndio anakuwa kwenye mazingira ya kuonekana. Halafu anataka atambue huku mitandaoni cdm ikikutana na changamoto kuwa aliionya. Paskali bado ana ile mikwara ya kishamba kuwa yeye ni afisa kitengo akiamini watu wanaisujudia hiyo kitengo anayojinasibisha nayo.
 
Alafu unapoteza pesa zote ulizopata kwa miaka miwili mahakamani! Kama ingekua mimi ningejikita kwenye biashara nyingine tu!
 
Nadhani kama wanazidi kujipotezea time na mvuto wa kisiasa....

Wangejifunza kunyamaza kama akina Jasusi mbobezi na kinana,, wakati ukifika watasamehewa tu
 
Samia anahusikaje hapa mkuu?
Indirectly ?!! Hizo zitakuwa ni speculations tu !! Suala hili litaondoka kwenye siasa litaingia kwenye sheria likipelekwa mahakamani ! Na ni lazima litapelekwa Mahakamani !! Hapo sasa mchezo wa Draft utaanza, mwenye ujuzi wa kuzipanga kete zake vizuri ndiye atakayeshinda !! Au ngoma droo mpaka 2025 !!
 
Ndivyo zilivyo hizi Sihasa kila siku wapinzani wenu wanawatafutia majanga tu ili mparurane !! Wao wapate cha kuongea !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…