Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu

Mambo mengine ni kuzuga tu ila lengo ni wabaki waendelee kula kula za bungeni huku wakijifanya wakipigania uanachama wao. Hata kama mahakama zingekuwa na mamlaka ya kuwarudisha bado ikifika 2025 utaona mmoja mmoja anajipachika kwenye chama kingine maana mwanasiasa wa Tz wa kuchaguliwa huwa hapendi kuachia nafasi nyakati za kawaida.
 
Acha porojo,hujui kuwa Halima ni Mwanasheria kitaaluma?

Unadhani hajui jinsi ya kuulinda ubunge wake?

Kama mlimfukuza kihuni kama alivyosema Mahakama itamoa haki hake
Atakutana na kina Kibatala mwambie tu asije anza kulia kizimbani.
 
Kwenye maelezo yako,hukubainisha ni nani alimwachia Nusrat Henje toka gerezani usiku wa manane na kumpeleka kuapishwa Dodoma.
Au ni mnene huyo huyo wa Chadema.
 
Ccm bana
 
Acha porojo,hujui kuwa Halima ni Mwanasheria kitaaluma?

Unadhani hajui jinsi ya kuulinda ubunge wake?

Kama mlimfukuza kihuni kama alivyosema Mahakama itamoa haki hake
Anaweza kuendelea kuwa mbunge kwa nguvu ya mahakama sawa lakini mahakama haiwezi kuilazimisha chadema iendelee kumtambua mdee kama mwanachama wake..
 
,
this time around, Chadema inakwenda kushikishwa adabu!. Haiwekani kila siku ifanye uhuni iachwe hivi hivi!. Mdee ni Kisiki cha mpingo!.
P
Mm
Pascal Mayalla Kama unaweza kuwa shahidi wao jiandae kukutana uso kwa uso na Kibatala.

Unasema Halima na Bulaya na mnene mmoja wali organize kuwapata hao viti maalumu it means ni nje ya utaratibu wa chama na sheria za nchi, hapo ndipo watakapojikanyagia.

Kibatala atawauliza nani alimtoa Nusrat gerezani usiku moja kwa moja kwenda kuapishwa gereji nakwa utaratibu gani.

Pascal acha tu kuna mambo yataiacha uchi serikali, bunge, NEC na msajili kama kwenye kesi ya ugaidi wa Mbowe.

Acha ikae hivyo hivyo.
 
Hua nashindwa kuelewa hv Tz mtu ukiwa kiongoz akili hua zinaenda wapi?Mbowe hapo kachemsha na cdm nzima ,wanajua kabisa hao wabunge hawawez kutolewa,wao wangewasamehe afu wajipange 2025 waachane nao,
Chadema wanalinda nidhamu ya chama.
 
Hawa akina Mdee warudishe pesa zote za umma walizolipya kinyume na sheria
 
Haya. Skendo nyingine kwa NEC na spika zitaanikwa mahakamani - kugushi. Hadithi njoo, utamu kolea. Niko siti ya mbele kusikiliza yanayojiri mahakamani. Fungua kombe mwanaharamu akae!!!
 
Acha porojo,hujui kuwa Halima ni Mwanasheria kitaaluma?

Unadhani hajui jinsi ya kuulinda ubunge wake?

Kama mlimfukuza kihuni kama alivyosema Mahakama itamoa haki hake
Kwanza, kitendo cha kwenda mahakamani tu wameshjifukuzisha uanachama, achana na hayo mengine.
Huyu alieweka kipengere hiki kwenye katiba ya chadema aliona mbali.
 
Yaliyomkuta zito ndo yatakayowakumba kulinganga na sheria na taratibu za chama soma hapo chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Kanuni za kusimamia shughuli, mwenendo na maadili ya wabunge wa Chadema (2006), kifungu cha 8.0 (a) (x); zinasomeka ifuatavyo; “Chadema itashughulikia matatizo ya viongozi na wanachama kwa kufuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa katiba ya chama, wala hata siku moja haitashughulikia mambo kama hayo mahakamani. Mwanachama atakayeshindwa kufuata taratibu na ngazi za chama hatavumiliwa na atafukuzwa uanachama”

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…