Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
No yupo MZIMANa aliyeapishwa kimagumash sasa hivi yuko six feet under.
Ingekuwa kwa matakwa yangu kuna wengine wengi tu bungeni ambao ni matokeo ya kughushi.CHADEMA wafukuze hizi takataka kabisa
It was a mechanized robery kind of election. Ukipita nao vibaya ile tar 27 na 28 wangekufanya kitu kubaya.Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.
Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni...
Another rober🤣🤣Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.
Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao...
Haya majiby kamwambie Jaji Mtungi, Jaji Mihayo na Dr Wilson Mahera🤣🤣🤣Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.
Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.
Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.
Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.
Hii nchi kinachotuangusha ni ushaifu wa upinzani. Wana njaa sana.
Waanze na Halimia Mdee kwanzaIngekuwa kwa matakwa yangu kuna wengine wengi tu bungeni ambao ni matokeo ya kughushi.
View attachment 2218729
Nani hapendi kulambishwa asali?? 😂😂😂
Justice for Nusrat HanjeCHADEMA wafukuze hizi takataka kabisa
Kwa kuwa yeye ni nani?Justice for Nusrat Hanje
Yule mtu alikuwa mshenxi hasa. Kwanza ni fedheha kwa taifa kuendelea kulitumia jina lake katika vitu vya kitaifa kama madaraja, barabara au stand.Na aliyeapishwa kimagumash sasa hivi yuko six feet under.
Karma ina tekeleza haki bin haki.Na aliyeapishwa kimagumash sasa hivi yuko six feet under.
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.
Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao...
Pesa kitu gani, waache walipwe mafao ya maliemu lakini laana ya kuvuruga uchaguzi itawafikia mpaka kizazi cha nne.Yule mtu alikuwa mshenxi hasa. Kwanza ni fedheha kwa taifa kuendelea kulitumia jina lake katika vitu vya kitaifa kama madaraja, barabara au stand.
Pia hata familia yake kuipatia pension na stahili zingine ni makosa maana alipaswa kulaaniwa yeye na uzao wake hadi kizazi cha tatu.
Maelfu ya watu wameharibikiwa maisha hadi wengine ni vilema au kufa kwa sababu za roho yake mbaya kisha wana mtajataja kama wa maana vile mtu wa maana vile?
ccm ni janga la taifaUchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.
Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni...
Wanajitahidi kuwashawishi CHADEMA wawasamehe ili waponee aibu yao ya wizi uliopitiliza wa kura halali. Aibu yao!Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.
Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni...
Nami naona hivyo vikao vya ikulu si bure.Wanajitahidi kuwashawishi CDM wawasamehe ili waponee aibu yao ya wizi uliopitiliza wa kura halali.Aibu yao!
Wanaanza kumkaribisha Mh.Mwenyekiti White House mara kwa mara.
Nani ccm Hana njaaLawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.
Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.
Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.
Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.
Hii nchi kinachotuangusha ni udhaifu wa upinzani. Wana njaa sana.