Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

Wewe kwa nafasi yako umefanya nini kabla ya kuanza kulaumu wengine?
 
Inasikitisha sana...

Kuna mmoja alisema hata baada ya yeye na mke wake kujipigia kura na bado matokeo yakasema amapeta kura sifuri... inakujae sasa...
 
Yaani ujinga wa magufuli,unauleta kwa wapinzani??unamjua Mbowe wewe??ana uwezo wa kukulisha wewe na ukoo wako mpaka ufe.hana njaa
 
Amen,uko sahihi
 
Uchafu haudumu kamwe. Yuko wapi forgerer-in-chief na Ndugai? Covid-19 nao mavi tele.
 
Hakina Mdee na wao wangezisusia hizo nafasi, sasa hivi CDM wangeweza kuzidai tena.

Zipo kwa sababu watu walizichukua, ndio maana kuna uwezekano wa kuzidai.

If anything maamuzi ya hakina Mdee yanadhihirisha Mbowe ni mtu wa ovyo na maamuzi yake ni emotional sio rationale at all ndio maana wakaona wafanye yao kipindi.

Hakuna watu ovyo kama nyumbu wa CDM.
 
Ingawa sisi hatushiriki katika hukumu ya Mungu, ila huyu muhuni Mungu amtese huko aliko na wale wanufaikaji wake hapa duniani wateseke mateso yasiyo vumilika wasipo tubu.
 
Yaani ujinga wa magufuli,unauleta kwa wapinzani??unamjua Mbowe wewe??ana uwezo wa kukulisha wewe na ukoo wako mpaka ufe.hana njaa
Kwa kua anakupiga miti na kukulisha basi unaamini kila mtu humu ana njaa kama wewe na ukoo wenu.
 
Sishawishiki saana kuamini mchango wako ingawa pia nashindwa kukupinga at the same time, najiuliza; hivi kwa mazingira yale enzi za mwendazake, hao wapinzani wa kweli (ambao wewe unasema hawapo ) hivi wangefanyaje ili tujue kwamba tunao wapinzani wa kweli? Mtu kabomolewa jengo lake la biashara (Bilcanas club ), kafungiwa chombo chake cha habari (Tanzania Daima ), kang'olewa green gaden yake, mbomoaji ambaye alikua DC kapandishwa cheo hadi kua mkuu wa mkoa baadae kapewa UBUNGE, kavunjwa miguu yake muda mfupi kabla ya uchaguzi, halafu accounts zake zote (za biashara na hata ya mshahara wake wa ubunge ) zikafungwa, hachukui hata mshahara cause account imefungwa, wabunge wake wametongozwa almost wote ili "waunge mkono juhudi" hivi mtu wa namna hiyo alitakiwa kufanya nini zaidi ili tujue kama ni MPINZANI!? Tumejaribu kuvaa viatu vyake kweli?
 
Inasikitisha sana...

Kuna mmoja alisema hata baada ya yeye na mke wake kujipigia kura na bado matokeo yakasema amapeta kura sifuri... inakujae sasa...
"Forgerer-in-Chief" alihakikisha kura za mabegi zinapewa kipaumbele!
Kama anavyosema mtoa mada.
 
Tatizo watasamehewa kwa sababu watasema ukweli tu kuwa walitishiwa, kuna muda mwingine inabidi uangalie familia yako kwanzaa!!sasa unatishiwa familia yako na kufanyiwa mambo ya ajabu inabidi wakubali tuu kusaliti chama!wakati mwingine ndo tunasema upinzani wa Tanzania kidg dhaifu
 

..tunatakiwa ku-deal na wanaotishia wenzao ktk siasa.

..hatua ya muda mfupi ni kupiga kelele na kushinikiza walioshiriki ktk kugushi na kuwaapisha wabunge 19 wachukuliwe hatua za kisheria.

..hatua nyingine iwe ni kupigania suala la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili kuwe na udhibiti na usawa baina ya vyama vya siasa.
 
Mbowe kila siku hakauki Ikulu kupokea maelekezo ya Samia nini cha kusema kwenye kamati kuu ya chama chake, hovyo kabisa yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…