Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

Umesema kweli mkuu. Watu wanachukulia haya mambo kirahisi rahisi

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa kwa matakwa yangu kuna wengine wengi tu bungeni ambao ni matokeo ya kughushi.
Kweli duniani hakuna usawa.
Asilimia 75% ya wabunge wa ccm ni w kufoji lkn akina Mdee pekee wanaenda kufukuzwa.
Ingefaa haki itendeke kwa wote.
Uchaguzi urudiwe basi tu.
 
Mtendee Lissu haki mkuu.
Huyo aliutoa uhai wake rehani alibaki peke yake akikemea maovu...ulitaka afanye nini?
 
Bila aibu unamtetea yule SHetani maaluni?? Jini lililotokezea likajifanya mwanadamu likaishi nasi likatutenda kijinijini na kuzaa vitoto vikorofi visabaya na vimakonda vijini vidogo vingi!??
 
Kweli duniani hakuna usawa.
Asilimia 75% ya wabunge wa ccm ni w kufoji lkn akina Mdee pekee wanaenda kufukuzwa.
Ingefaa haki itendeke kwa wote.
Uchaguzi urudiwe basi tu.
Kisheria CHADEMA wakisha washa moto kuwa uchaguzi 2020 ulikuwa wa kughushi, bunge lote lina kosa uhalali wa kuwepo.
 
Halafu unakuta mtu anasema Magufuri alikuwa rais wa wanyonge,yule alikuwa dikteta
 
naona rais alimuita mbowe jana
 
Anajitangazia bei. Atachukua chake mapema halafu nyumbu watabaki kujiliza humu JF

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Angekuwa mtu mweñye bei yaani wa kununuliwa angeshanunuliwa mapema Sana! Nimjuavyo mimi Hana kaliba hiyo kwani anajitosheleza na ana uchungu wa moyoni Kwa Yale waliyomtendea ikiwepo kumweka magereza mara nyingi Kwa makosa ya kutengeneza!
Walimsukasuka Sana Kwa muda mrefu na angekuwa dhaifu Leo hii angekuwa mmoja wa mawaziri Kama angekubaliana nao. Bei yake ni kubwa mno na ilimshinda dalali bulicheka!
 
Aliyevuruga ule uchaguzi Mungu kampa pigo la historia, rais wa kwanza wa Tz kufia madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…