Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mungu hadhihakiwiKuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
- Walishika vitabu vitakatifu na kula viapo wakijua kuwa hawakupitia utaratibu stahiki
- Walimtegemea zaidi binadamu ambaye hakutenda haki katika kuwafikisha walipo