Mbona spika wa bunge alishasema kwamba wanasubiri mchakato wa ndani ndio atoe maamuzi?. Kama chadema wangekuwa Wana mkono kwenye Hilo mbona Ndugai angesema au hata Mdee mwenyewe angesema.
Huyu jonhthebaptist ni nani? Amejipambanua ni kada wa ccm, mbana anafahamu mambo mengi ya ndani ya chadema??Huyu aliomba msamaha, atsfikiriwa!
Hakuna mtu karubuniwa pale trust me, tuache kuongea kutoka hewani, wala hakuna mtu kapewa ela,
Ukifatilia hiyo story ya viti maalum hutomweshimu tena mbowe wala lisu
Ilibidi aondoke kwanza yule aliyewaapisha.
Uwe unatumia hata akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara!
Watakuwa wageni wa nani, labda watavaa nguo za zambarauKesho wakikaa kamati kuu na Baraza kuu wakabariki majina mapya basi wote wanaondoka.
Huyu jonhthebaptist ni nani? Amejipambanua ni kada wa ccm, mbana anafahamu mambo mengi ya ndani ya chadema??
Watakuwa wageni wa nani, labda watavaa nguo za zambarau
Inaonekana ANAMSUGUA kisawasawa 😃😁🤣😂 mpaka hataki wanaume..Ila kwa bi Ester namwonea wivu sana Bwana Halima....
Daaah! Kwahiyo mrs tumbili haelewi alifikaje bungeni? Yaani kajikuta tu yupo humo mjengoniKuna taarifa kwamba wabunge 19 wa viti maalumu wa Chadema wameshauriwa na mamlaka husika wajiuzulu ili kulinda hadhi zao badala ya kusubiri chama chao kithibitishe kuwafukuza.
Inasemekana wabunge 6 walikata rufaa na wengine kadhaa akiwemo Mrs Kafulila waliomba msamaha baada ya kujikuta tu wako bungeni.
Chadema wanategemea kufanya kikao cha kamati kuu na Baraza kuu hivi karibuni ambapo pia majina ya wabunge wapya 19 wa viti maalumu yatatangazwa.
Kwaresma njema!
Coz wanajua waliongea nn kunduchi beach mpaka wakaamua kuteua Kwa kanda coz viti ni vichache,
Kuna mambo mengi yamejificha hapo
How hujuma ? Tume wakileta barua ya majina ya viti maalum ambayo chadema walipeleka utabakia na msimamo huo.?
Tume yenyewe ilikiri haijapokea majina kutoka chadema. Hayo majina yalienda lini Tume?. Halafu spika ndio anaarifwa na chama, Nani alimuarifu spika kuwa chama kimewateua?. Ndio maana kwa kulijua Hilo, Spika amesema anasubiri mchakato wa CHADEMA sio stories za kunduchi.
Ingekuwa chama kimeteua Tume ingesema na hata Spika angesema. Tuache kuwa kwenye defensive all the time Mambo yamebadilika ghafla, kuondoka kwa Ndugai ilikuwa ni mpenyo wa kujua ukweli. Maana yeye ndio alidiriki kusema atawalinda mpaka mwisho.
CHADEMA Ina mamlaka ya kubatilisha na kupeleka mengine simple as that. Kwani shida ipo wapi? Halafu hiyo Tume yenyewe alishakiri kutopokea barus kutoka chadema.
Pia usisahau Mnyika alishapewa barua ya kutoyatambua hao covid 19 mkawa mnamcheka, Sasa muda wa vielelezo umefika. Katibu Mkuu wa chama ameshadhibitisha hao sio wa chama chetu Ndugai akabana, leo Ndugai hayupo.
Alafu utasikia hao hao chadema wamepitisha hao 5
Wakatubu ili wapate msamaha wa dhambi zaoWanasema ni heri upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga
Kabudi.
Bashiru.
Polepole.
Ndugai.
Sabaya.
Mtoto wa Dada.
Covid19 .
Hawa watu wanapitia wakati mgumu sana tuwaombee.
Majina yalitoka tume kwenda Kwa spika
So kama kuna kuchimbika means kutaanzia tume
Na serikali haiwez kuingia kwenye aibu hiyo just because kufurahisha chadema
Tena chadema ambayo haina nguvu yoyote now
Kumbe chadema haina nguvu?. CHADEMA Ina nguvu Sana, wote waliokuwa vizingiti wameondoka wenyewe au kwa lazima. Wewe hujiulizi Ndugai ameondokaje?, Yule Jaji kaijage Mwenyekiti wa Tume naye kaondoka.
Speaker kashatoa kauli ya kwamba anasubiri mchakato wa CHADEMA afanye maamuzi. Barua ingekuwepo asingesema hivyo.
Usichoelewa ni kwamba aliyewaingiza bungeni ndio kawaambia wajiuzulu kabla Tundu Lisu hajatua nchini.Hakuna mtu aliomba msamaha hata mmoja na last week walienda gerezani kumsalimia Mwenyekiti, and he was very happy kuwaona hahaha siasa tamu
Kwani JK sasa hayupo?Mlikuwa na nguvu Kwa jk now hakuna kitu chochote