Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni kweli Dar nzima kila mtu koo kavu na mwili wa moto. Lakini hii ya sasa sio kali kama ya mwaka jana mwanzoni.Huku mbona tunaishi nayo!!!!
Ikikubamba fresh!!!¡
Lakin haina noma wala nin miili isha zoea!!!!!!
N.B
Ukipima ndo unaingia wenge mfano wiki hii ya pili watu wamepigwa na covid dar nzima!!!! Lakin imenyoosha mikono yenyewe .....
Mwendo wa panadol na maji tuu afu tunaingia kazin: