#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

corona wametoka nayo wakarudi nayo kwetu hakuna corona ...
 
Mh MSUKUMA ndie alie waambia wabunge wa Uganda kuwa kwetu hakuna corona🤣
 
Mpaka na sisi tutengeneze variant yetu kama Afrika Kusini walivyotengeneza Omicron halafu tupigwe marufuku kusafiri ndiyo tutaelewa. Kuna siku tutakiheshimu tuu hiki kirusi cha corona.
 
Back
Top Bottom