Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Miye tena?Mawazo ya kijinga sana haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miye tena?Mawazo ya kijinga sana haya.
Huyu nae ni muongo kama ibilisi,nikikumbuka alipokuwa akisisitiza JPM tupo vzr anachapa kazi,kumbe ngosha yupo hoi,mishuzi tu inamtoka.Hakuna wimbi la nne la Covid, kilichopo ni vita ya kibiashara, full stop.[emoji2]View attachment 2053449
Hao si ni wote sasa walioshirikiWa bunge 49 wamekutwa positive.
Ndiyo, unless ulikuwa unajoke.Miye tena?
Binafsi sipendi watu wanaofanya mzaha na Covid-19. Kupitia mizaha hiyo watu wengi wanapoteza maisha.Miye tena?
Haka kakauli kamekaa kisiasa sana.Hii ni vita ya kiuchumi.
Kwa hiyo?Ila ukisoma habari ni 38 out wabunge 200 na wajumbe wengine 125 kutoka Uganda
Unapima ili upatiwe dawa gani? Wewe chukua tahadhari ugonjwa upo na pengine umesha ugua na kupona au unaishi nao mwilini. Sasa kuna maana gani kwenda public na kupublish takwimu ambazo hazikusaidii kuleta dawahaya mambo yanafikirisha san, au Tanzania hatuna uwezo wa kupima kitusi kipya
Wapunguze tantalila Uviko upo dunia nzima.....Kwa hiyo?
Jumuiya ya Afrika Mashariki inaundwa na Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan ya kusini
Ndio kusema katika wabunge wote wa hizi nchi 6 ni wale wa Uganda pekee ndio wamepata maambukizi ya covid 19 jijini Arusha?
Kuna kitu hakiko sawa bwashee!
Kama ya Wekundu wa Msimbazi!Wengine watakuwa waliondoka na yale mafua yetu ya kawaida
Kama ya Wekundu wa Msimbazi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimwamini huyu imekula kwako,
alituaminisha Mh. Rais Magufuli yu mzima na anaendelea kuchapa kazi. Aibu kubwa ikamkuta ile March 17, 2021! RIP JPM
Hao wa kwenu wamejipima? Ugonjwa wa sasa hugundulika kwa kupima, dalili zinajificha.Wa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446
Huo ugonjwa upo ila huku unaitwa mafua ya msimuWa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446