#COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

haya mambo yanafikirisha san, au Tanzania hatuna uwezo wa kupima kitusi kipya
 
Unapima ili upatiwe dawa gani? Wewe chukua tahadhari ugonjwa upo na pengine umesha ugua na kupona au unaishi nao mwilini. Sasa kuna maana gani kwenda public na kupublish takwimu ambazo hazikusaidii kuleta dawa
 
Jumuiya ya Afrika Mashariki inaundwa na Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan ya kusini

Ndio kusema katika wabunge wote wa hizi nchi 6 ni wale wa Uganda pekee ndio wamepata maambukizi ya covid 19 jijini Arusha?

Kuna kitu hakiko sawa bwashee!
 
Wengine watakuwa waliondoka na yale mafua yetu ya kawaida
 
Wanywe supu kila kitu kitakuwa sawa
Jinsi Ya kupika Supu ya Kuku Baada ya Kumchoma.jpg
 
ukimwamini huyu imekula kwako,
alituaminisha Mh. Rais Magufuli yu mzima na anaendelea kuchapa kazi. Aibu kubwa ikamkuta ile March 17, 2021! RIP JPM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446
Hao wa kwenu wamejipima? Ugonjwa wa sasa hugundulika kwa kupima, dalili zinajificha.
 
Wa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446
Huo ugonjwa upo ila huku unaitwa mafua ya msimu
 
Back
Top Bottom