Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ni kweli Dar nzima kila mtu koo kavu na mwili wa moto. Lakini hii ya sasa sio kali kama ya mwaka jana mwanzoni.Huku mbona tunaishi nayo!!!!
Ikikubamba fresh!!!¡
Lakin haina noma wala nin miili isha zoea!!!!!!
N.B
Ukipima ndo unaingia wenge mfano wiki hii ya pili watu wamepigwa na covid dar nzima!!!! Lakin imenyoosha mikono yenyewe .....
Mwendo wa panadol na maji tuu afu tunaingia kazin:
Hao ni wale waliokwisha ugua Delta na sasa OmicronDar watu wamepigwa covid 90%
Wa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446
ukimwamini huyu imekula kwako,Hakuna wimbi la nne la Covid, kilichopo ni vita ya kibiashara, full stop.[emoji2]View attachment 2053449
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ukimwamini huyu imekula kwako,
alituaminisha Mh. Rais Magufuli yu mzima na anaendelea kuchapa kazi. Aibu kubwa ikamkuta ile March 17, 2021! RIP JPM
Mpaka Makomamanga yalikuwa na Corona, sijui kwa nini tuzo za wasanii hajaambulia kitu?Mtanikumbuka kwa mema siyo mabaya!
Panado ya nini piga Kiwingu, the Spirit of Good Times mwenyewe utasahau kama unaumwa🤣Huu ugojwa dawa yake ni panado tu
hatari sana imenipiga mara 2 mwaka huu january na hii ya juzi nimeumwa balaa ila Mungu mkubwa haijanilaza.Kila mmoja akiitazama tanzania anashindwa kuielewa na watu wake pia,
Hakuna tahadhari zozote na watu wanapiga kazi tu ,
Nafikiri mataifã makubwa wanashangaa sana wanapoitazama tanzania
Mawazo ya kijinga sana haya.Hii ni vita ya kiuchumi.
Nani aliwaambia waje? Sisi tunajijua wenyewe. Na hata hivyo, Covid ipo Tanzania tu?Wa bunge wa Uganda 49 wamepimwa na kukutwa na covid 19, microns ambacho ni kirusi kipya cha covid 19, baada ya kushiriki kwenye michezo ya mabunge ya Africa mashariki, Arusha TZ.
Lakini mbona wa bunge wetu TZ hawapati huo ungonjwa? Au hizo ni siasa za Museveni ufunga nchi kwenye lockdown ili aitawale bila upizani kwasbb Waganda wamesha mchoka anatawala kwa ubabe. View attachment 2053446
Wa bunge 49 wamekutwa positive.ni 19 au 49 waliokutwa postive?