kamdudu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 2,007 Reaction score 1,931 Dec 22, 2021 #61 corona wametoka nayo wakarudi nayo kwetu hakuna corona ...
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 Dec 22, 2021 #62 ProMagufuli said: .Wabunge wa .Tanzania waliwaambia kuwa hakuna corona .Tanzania hivyo... Bado mtazamo wa .Magufuli unaishi mpaka kwa wabunge sio layman tu. Click to expand... kuifuta legacy ya jpm,haiwezekani mkuu!![emoji23]
ProMagufuli said: .Wabunge wa .Tanzania waliwaambia kuwa hakuna corona .Tanzania hivyo... Bado mtazamo wa .Magufuli unaishi mpaka kwa wabunge sio layman tu. Click to expand... kuifuta legacy ya jpm,haiwezekani mkuu!![emoji23]
chazachaza JF-Expert Member Joined Feb 21, 2018 Posts 2,829 Reaction score 3,835 Dec 22, 2021 #63 Morogoro kaskazini said: Huu ugojwa dawa yake ni panado tu Click to expand... dawa ya huu ugonjwa ni gambe Basi!!
Morogoro kaskazini said: Huu ugojwa dawa yake ni panado tu Click to expand... dawa ya huu ugonjwa ni gambe Basi!!
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 Dec 23, 2021 #64 Mh MSUKUMA ndie alie waambia wabunge wa Uganda kuwa kwetu hakuna coronaš¤£
Bepari2020 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2020 Posts 2,072 Reaction score 2,453 Dec 23, 2021 #65 Mpaka na sisi tutengeneze variant yetu kama Afrika Kusini walivyotengeneza Omicron halafu tupigwe marufuku kusafiri ndiyo tutaelewa. Kuna siku tutakiheshimu tuu hiki kirusi cha corona.
Mpaka na sisi tutengeneze variant yetu kama Afrika Kusini walivyotengeneza Omicron halafu tupigwe marufuku kusafiri ndiyo tutaelewa. Kuna siku tutakiheshimu tuu hiki kirusi cha corona.