Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

Wabunge wanaokuja kusain posho na kuyoka nje wakusunbue akili,,wajiuzulu wote
 
Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Shughuli kubwa alifanya kikwete yeye kaenda kukata utepe na kupiga blablah usitake kumpa sifa asiyostahili
 
Narudia kauli yake leo.
"Mimi ni rais ninayejiamini, sipangiwi na mtu cha kufanya"

Msimtishe rais, keshafanya maamuzi, kama hawataki wahame nchi.
 
Haiwezekani Rais afanye maamuzi basing on the discussion za kwenye mitandao
 
Ila kwa hii kauli ya Leo ya Rais I think ni msaada tosha kwa wapinzani kwan Watanzania weng hata wale ambao walikua wamelala watakua wameanza kupata mwangaaaa. Na wengi watakua wamejua(japo wengine tulishajua tangy mwanzo) kwamba ile vita ya Dawa za kulevya ilikua vita hewa kwa ajili ya kuchafua na kukomoa wengine pia kujitajirisha.
 
Waache wawasiliane tu, wajiuzulu, wafanye lolote ila wakae wakijua tu kuwa huo hautakuwa mwisho wa CCM kwani CCM ni chemchem na hazina ya viongozi hapa nchini; akitoka mtu anaingia mtu.
 
ACHA UJINGA. HILI JAMAA LIMEHARIBU KILAKITU, KUANZIA UCHUMI, ELIMU, NK. HALIFAI NA NI LIKABILA NA LIBASHITE
 
Tayari wamesharudisha fedha walizokopa kwa ajili ya magari?peleka uharo kule
 
Wabunge wenyewe wa CCM Ndiooooooo!!!! mwanzo mwisho hawana ubavu huo Labda wamuombe Raisi TLS aingilie kati

Walidhani mkuki ungekuwa kwa upinzani tu....kumbe na wao unawajeruhi.......ila wakiwa siriaz waje tuliko wananchi ili kwa pamoja tuikwamue nchi yetu hapa ilipokwama na kisha tupige hatua za kimaendeleo.
 
Wabunge sio wajinga kiasi hicho
 
Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Pumbavu kabisa, hilo libarabara litamsaidia nini mwanakijiji alieko kijiji cha Magunga tarafa ya Kiponzelo wilaya ya iringa au mwanakijiji wa magila huko muheza Tanga.
 
Watanzania tuko bizzy tunanyoosha KIVULI wakati uliopinda ni MTI, Nchi hii tatizo la msingi ni KATIBA MBOVU [HASHTAG]#TuacheSiasaUchwaraTudaiKatibaMpya[/HASHTAG]
 
Yani niache 90m mkopo wa gari,12m mshahara kila mwezi,50m hela ya Jimbo,kiinua mgongo cha 200m+ kila baada ya miaka mitano,marupurupu ya kamati n.k kukupigania wewe fukara? ?
Sahau ndugu,wajinga ndo waliwao! ! Hakuna mwakilishi yuko pale kwa ajili yako ndugu,wote tuko pale kwa ajili ya matumbo yetu na familia zetu na kutengeneza mtandao wa biashara. ..
Si wao wala sisi, usanii mtupu. .amka acha kudanganywa. ..fanya kazi kwa bidii utafanikiwa. ..
 
Hakuna watu waoga kama wqbunge wa ccm maana wengi hwakushinda walishindishwa
 
Tulifukuze urais hili lindumilakuwili.....linajifanya linachukia ufisadi kumbe libinafsi tu
 
Nshonzi, never with CCM members, history tells it all! Kuna vitu vinajulikana, inajulikana kuwa wahaya wana majivuno ya Usomi, wanathamini sana elimu! Nshomile, nothing will go contrary to that among the Hayas! Umenipata nadhani! Nshonzi, Nshomile!
Wakola waitu
 
Kwa ninavyowafahamu wabunge wanaotokana na chama twawala hiki kitu ni ndoto za mwendawazimu. hawawezi fanya hiki kitu kwani wanaishi ulimwengu tofauti kabisa na watanzania wengine. Angalia suala la katiba walivyolivuruga, suala la naibu spika, nk yapo mengi sana wameyapitisha kwaajili ya kukilinda chama au mamlaka dhidi ya ustawi wa taifa. Ngoja tusubiri tuone kwani sijawahi ona utawala wa ajabu kama wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…