Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughuli kubwa alifanya kikwete yeye kaenda kukata utepe na kupiga blablah usitake kumpa sifa asiyostahiliShughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Narudia kauli yake leo.Kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
ACHA UJINGA. HILI JAMAA LIMEHARIBU KILAKITU, KUANZIA UCHUMI, ELIMU, NK. HALIFAI NA NI LIKABILA NA LIBASHITEWafanye tu wanaloona ni SAHIHI na pia hao wanaotaka kufanya wanachoona ni sahihi na wao wanatakiwa WAWE NI WASAFI KWELI KWELI hili mwisho wa siku wakimunyooshea KIDOLE mwenzao kiwe na IMPACT......NA MWISHO WA SIKU RAIS atabaki kuwa RAIS tu na tena SI RAIS TU BALI RAIS mwenye MSIMAMO.....na ndio maana hata hao WALIOJIUZULU kwenye kamati ya BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA. kama kweli wanamaanisha wanachokisimamia basi wajiuzulu mpaka huo UBUNGE WAO.....hatutaki UNAFIKI
Tayari wamesharudisha fedha walizokopa kwa ajili ya magari?peleka uharo kuleKama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
Wabunge wenyewe wa CCM Ndiooooooo!!!! mwanzo mwisho hawana ubavu huo Labda wamuombe Raisi TLS aingilie kati
Wabunge sio wajinga kiasi hichoKama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.
Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.
Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.
Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.
Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
Huna lolote kama angekuwa miongoni mwao si angesemaUsimdharau usiye mjua,unajuaje kama siyo kati ya hao wabunge?
Pumbavu kabisa, hilo libarabara litamsaidia nini mwanakijiji alieko kijiji cha Magunga tarafa ya Kiponzelo wilaya ya iringa au mwanakijiji wa magila huko muheza Tanga.Shughuli aliyoifanya Mh rais pale Ubungo ni kubwa sana kwa maendeleo ya taifa hili......na hayo ndio maendeleo tuyatakayo na sio umbea na fitna za ajabu ajabu ambazo kimsingi hazitufikishi popote....u need to grow up
Wakola waituNshonzi, never with CCM members, history tells it all! Kuna vitu vinajulikana, inajulikana kuwa wahaya wana majivuno ya Usomi, wanathamini sana elimu! Nshomile, nothing will go contrary to that among the Hayas! Umenipata nadhani! Nshonzi, Nshomile!
Kwa ninavyowafahamu wabunge wanaotokana na chama twawala hiki kitu ni ndoto za mwendawazimu. hawawezi fanya hiki kitu kwani wanaishi ulimwengu tofauti kabisa na watanzania wengine. Angalia suala la katiba walivyolivuruga, suala la naibu spika, nk yapo mengi sana wameyapitisha kwaajili ya kukilinda chama au mamlaka dhidi ya ustawi wa taifa. Ngoja tusubiri tuone kwani sijawahi ona utawala wa ajabu kama wa sasaKama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.