Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

M-7 ndio kaonesha uthabiti wa kushughulika na ufirauni huo wenye akili lazima tuunge mkono vita juu ya kulinda morality katika jamii zetu kwa manufaa ya kizazi kijacho.

"Kataa LGBTQ"
 
Mama Samia kiongozi wetu na Mkuu wa nchi yetu, nina ujasiri huku nikitambua upo humu Jf kama ilivyowahi kusema hadharani

Ninatamani na ninaisubiri kwa hamu kubwa siku ambayo utatoa tamko la wazi kabisa kwamba ushoga hapa Tanzania, utakuwa haramu milele na milele

Hawa USA na magharibi wamekengeuka ila wanashupaza shingo tuu

Bora tuwe marafiki wa China na urusi hata na nchi kama za kina kim jung un. Hao na uchafu wao wakwende zao🚮

Ningetamani tuimarishe sheria zetu dhidi ya watu hao,

Hawa wa-magharibi wanachoshikilia ni kwamba eti mtu huzaliwa hivyo na kwamba anastahili haki sawa, sasa je mtu kama ameiba au ameua akijetetea kwamba amezaliwa hivyo sheria zao hukubali?

Pengine ni kweli kwamba wengine wamekuwa mashoga kutokana na kufundishwa labda walilawitiwa wakiwa wadogo na baada ya kukua wakajikuta ni mashoga, sasa ikiwa hivyo je mtu mzima kama amekwenda kuiba sheria isimzuie kwa sababu labda alifundishwa kuiba alivyo kuwa mtoto?

Ni lazima Afrika tubaki na msimamo kwamba hilo ni kosa kisheria kama makosa mengine, tusibariki kama hayo mataifa yaliyo laaniwa😬
 
kuna mambo hayahitaji ruhusa
watu wameona watafanya wanavyo jua
 
Nawee nae akili yako,lini walitunga sheria kuruhusu,hadi watunge kuzuia,ushoga ni ni tabia ya chumbani,nchi inaibiwa hii ,ndege
 
Tanzania kwanza🇹🇿🇹🇿🇹🇿

1. Kwanini Bunge halitungi SHERIA ya KUDHIBITI ushoga.?
2.Kwanini ikifika kwenye USHOGA kunakuwa na kigugumizi?
3. Waziri wa mambo ya ndani sielewi unachokifanya na huwa sikuelewi toka zamani. Nina mashaka na uwezo wako always.
4. Kiongozi namba moja ndo kabisa Hana nia wala muda na jambo hili.
5. Bunge na wabunge hamuwezi kuwa wapiga domo tu bila ya kuamua kutunga SHERIA, hivi tunapambana na ushoga bila SHERIA . Are we serious???.
6 . Ukimkamata shoga ukampeleka mahakamani utamshitaki kwa SHERIA ipi???au ndo kutenda kinyume na maadili?? Are we serious???
Sisi Watanzania tunataka SHERIA ya ushoga itungwe.
 
Kwani kuna sheria inayo halalisha ushoga kwenye nchi yako?
 
Hakuna kitu kitakachoweza kuja kuitwa sheria ya ushoga.... Hicho kitu hakipo wala hakitakaa kitokee.
 
NAOMBA NIKUULIZE . USHOGA NI NINI?
 
Mmeanzaa tenaaa mambo yenuu?? Hivi wabongo mkojeee?? ushogaa Una tatizo gani??

Pambaneni na umaskini kwanzaaa, khaaah
 
Kabla haujaonge kuna mwamba amesha kuwekea hii hapo juu lakini haujajishughulisha kuisoma hata kifungu kimoja .... Ila umekimbilia keyboard
 

Attachments

  • xxx.jpeg
    104 KB · Views: 2
Tanzania kwanza🇹🇿🇹🇿🇹🇿

1. Kwanini Bunge halitungi SHERIA ya KUDHIBITI ushoga.?
2.Kwanini ikifika kwenye USHOGA kunakuwa na kigugumizi...
Ushoga unazuia nini katika mafanikio yako ya kuishi duniani? Unakukosea haki gani binafsi?
badala ya kuhimiza ukombozi wa watu kutoka ubeberu wa weusi wenzetu, unahangaikia upuuzi. Utakuwa na elimu ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…