MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla?
Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa kuna Futari ya bure iliyoandaliwa katika Vifurushi wakapike Kwao na Wao kuanza Kushangilia Ukumbi mzima huku Boya moja likisikika likisema.... Tulia Mitano tena.....na likawa linacheka cheka tu.
Sijawahi kuona Bunge la bahati mbaya katika Maisha yangu yote ya uwepo wangu hapa Tanzania na Duniani kama hili la sasa.
Yaani Mbunge mzima unashangilia kupewa Futari ya bure badala ya kuwa busy Kupambania Maisha Magumu ya Wananchi wako na Changamoto zao?