Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla?

Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa kuna Futari ya bure iliyoandaliwa katika Vifurushi wakapike Kwao na Wao kuanza Kushangilia Ukumbi mzima huku Boya moja likisikika likisema.... Tulia Mitano tena.....na likawa linacheka cheka tu.

Sijawahi kuona Bunge la bahati mbaya katika Maisha yangu yote ya uwepo wangu hapa Tanzania na Duniani kama hili la sasa.

Yaani Mbunge mzima unashangilia kupewa Futari ya bure badala ya kuwa busy Kupambania Maisha Magumu ya Wananchi wako na Changamoto zao?
 
Usikute na Muslims MP wamepokea
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wakumbuke CRDB inakopesha kwa riba,so wanapokea futari itokanayo na riba kinyume na Islamic laws, Kama waliopokea

Kwani kuna ubaya gani wakishangilia?kwani wao kupewa futari ni dhambi?ina maana CRDB wapangiwe nani wa kumpa futari?CRDB ni taasisi kubwa inajua inachokifanya
 
CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla?

Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuwa kuna Futari ya bure iliyoandaliwa katika Vifurushi wakapike Kwao na Wao kuanza Kushangilia Ukumbi mzima huku Boya moja likisikika likisema.... Tulia Mitano tena.....na likawa linacheka cheka tu.

Sijawahi kuona Bunge la bahati mbaya katika Maisha yangu yote ya uwepo wangu hapa Tanzania na Duniani kama hili la sasa.

Yaani Mbunge mzima unashangilia kupewa Futari ya bure badala ya kuwa busy Kupambania Maisha Magumu ya Wananchi wako na Changamoto zao?
Take it easy, siku na wew ukiwa potential kwao watakulea pia, huna sababu ya kulia bure
 
Ndio madhara ya kupitishwa kwa mafungu kwenye uchaguzi mwisho wa siku bunge linajaa vilaza. Pole sana kada wa CCM
 
Usikute na Muslims MP wamepokea
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wakumbuke CRDB inakopesha kwa riba,so wanapokea futari itokanayo na riba kinyume na Islamic laws, Kama waliopokea
emoji23.png
emoji23.png
Mtu yeyote anaruhusiwa kutoa futari,swala la wapi kaitoa futari atajuana na Mungu wake.
 
Back
Top Bottom