Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

Nimekariri swala moja la mh mbowe japo mm sio mwanasiasa na wala sijawahi kuwa mmwanasiasa wa chama chochote
Namnukuuu;
Wabunge wengi hawajui biashara wameenda bungeni ama kwa mihemko tuu na ndo maana hata linapokuja swala la sheria wao ni ndiooo

Niliondoka zangu kwenye mishe zangu baada ya maneno hayo kutafutia watoto wangu ugali wa siku!
 
Back
Top Bottom