Nimekariri swala moja la mh mbowe japo mm sio mwanasiasa na wala sijawahi kuwa mmwanasiasa wa chama chochote
Namnukuuu;
Wabunge wengi hawajui biashara wameenda bungeni ama kwa mihemko tuu na ndo maana hata linapokuja swala la sheria wao ni ndiooo
Niliondoka zangu kwenye mishe zangu baada ya maneno hayo kutafutia watoto wangu ugali wa siku!