Pre GE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sawa mnaweza kufanya mnavyotaka lkn hamuwezi kumlazimisha …
Watanzania sisi ndio tunajuwa ni nani anaweza kutuongoza na kutuletea maendeleo ya kasi. Na kwa sasa Tumaini letu ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndio chaguo letu watanzania.
 
Kuna mahali mtu amekaa anakuita 'baba', 'kaka', 'mjomba' etc. namsikitikia sana
Kama unaumia na kuona wivu kwa watanzania kumchangia pesa za Fomu Rais Samia ,basi wewe hama nchini tu maana utakufa kwa presha tu. Au nenda kachangishage michango ya gari la starehe na kifahari la lissu huko.
 
Nchimbi huyu dogo atafaa kumrithi Yunus 😂
 
Hawezi kuwa na mtu wa namna yako, we endelea kusifu na kusujudu. Akikupenda nMtimua home.
Ndio tayari tumeshapendana mpaka watu wanaona wivu.mimi na ephen ndio watu tunaopendana humu jukwaani mpaka watu wanahisi tumerogana.. mpaka wengine wakasema aniache kwa kuwa nitakuwa namvalisha Madera ya CCM tu wakati wote ,lakini wameshangaa ndio kwanzaa mioyo yetu imeshikamana tu.
 
Kama unaumia na kuona wivu kwa watanzania kumchangia pesa za Fomu Rais Samia ,basi wewe hama nchini tu maana utakufa kwa presha tu. Au nenda kachangishage michango ya gari la starehe na kifahari la lissu huko.
Kuna watu mnabahati asee, yani unazaliwa na utapiamlo wa akili na bado unavuta pumzi bure tu, unafanya nianze kuamini mungu yupo
 
Watanzania sisi ndio tunajuwa ni nani anaweza kutuongoza na kutuletea maendeleo ya kasi. Na kwa sasa Tumaini letu ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndio chaguo letu watanzania.
We jamaa taila wa kiwango Cha lami...huyo mama ako sshv nchi imekuwa shamba la bibi,
 
Hivi hunaga hata aibu kama mapesa yote hayo tunayo hii kopa kopa yanini danganyaneni huko huko LUMUMBA fala wewe
 
Yaani hapo anaona umeandika cha maana. Eti pongezi mama kwa kutoa mapesa mikoani. Chawa mnafurahia maana ni kama anawahonga hizo hela. Badala ya kuona juhudi za wale wanajitahidi kuona hela haziliwi mnamsifu huyo mama mpigaji aliyeruhusu mle kwa urefu wa kamba zenu fedha za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…