Pre GE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

Pre GE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao watanzania uliwakuta wapi wakakutuma uwasemee huo upuuzi wako, mie ni mtz simuungi mkono huyo mamako...hapo vp utabubujikwa na machozi ya huzuni?!.
Rais Samia anaungwa mkono na watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.zingatia neno wenye akili timamu na wanaojitambua na wazalendo kwa Taifa letu
 
Mkuu, kwa hiyo una shauri bunge litoe takrima/rushwa kwa Rais ili awe anatoa hela kwa wakati.

Tufahamishe hiyo fomu imefika billioni moja kulipia???

Mkuu utekelezaji wa majukumu na maendeleo yote uliyoyataja si ndio wajibu wa Rais kwa wananchi na sera ya chama chake???

Hivi Lukas hela iliyotumika si ni kodi yetu wananchi, au siku hizi Rais anatumia mshahara wake kwenye bajeti ya Taifa???

Mkuu chawarika taratibu!
Nchi ngapi umeshuhudia viongozi wanashindwa kutumia kodi za wananchi kuwaletea watu maendeleo? Lakini sisi hapa tumeshuhudia matokeo chanya ya kodi zetu.tumeona namna huduma mbalimbali za kijamii zilivyojengwa karibu kabisa na wananchi.Sasa kwanini tusimpongeze na kumtia moyo Rais wetu kwa kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu hapo Mwakani?
 
Walimu si walishachanga au kuna fomu mbili mkuu nieleweshe!
Siyo walimu tu bali makundi mbalimbali yamemchangia Rais wetu mpendwa.na makundi na watu mbalimbali wataendelea kumchangia Rais wetu.hii ni katika kumtia moyo na kumuunga mkono.Lakini pia uchaguzi unahitaji mambo mengi sana kwa mgombea ikiwa ni pamoja na kuzunguka nchi nzima .hivyo pesa zingine zitatumika kumsaidia Mama yetu katika mahitaji mengine katika siku zote za kampeni. Kwani hujasikia na kujionea baadhi ya vyama vikishindwa kufanya kampeni kwasababu ya ukata wa pesa.
 
Ila Lissu akichangiwa mapesa anunue gari ni nongwa?Acha roho mbaya mnyamanyafu!
Sasa mtu kama Lissu ana mchango gani na umuhimu upi kwa maisha ya watanzania? Amewsaidia nini watanzania? Kazi ya Lissu huwa ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali.
 
Huyo Samiha a.k.a CHURA, analipia goli moja milioni 10, halafu wajinga wanamchangia pesa za kuchukua form ya kugombea urais.

Nahakika wakishindwa kujipendekeza watakuwa mashoga.
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais
 
Sasa mtu kama Lissu ana mchango gani na umuhimu upi kwa maisha ya watanzania? Amewsaidia nini watanzania? Kazi ya Lissu huwa ni kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali.
Kama haujui mambo mema aloyowatendea Watanzania hadi wakabubujikwa na machozi basi wewe u-mchanga na haumjyi TAML.
 
Back
Top Bottom