Pre GE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona wivu tu ndio umekushika . Nenda kwa lisuu kachangie gari huko uone kama atakusaidia chochote kile.
 
Unavuka mipaka
 
Huyu huwa anatumwa na Timu Makamba!!

Anaandika ujinga ujinga Ili Samia apigwe Pini ndo furaha ya kundi lile la 2025
 
Lucas wewe ni kielelezo tosha cha ule wimbo kweli Mungu wa ajabu ajabu kweli Mungu wa ajabu!

Hakika Mungu fundi
Nimebubujikwa na machozi😂😂😂😂😂😂😂
 
Huyo Samiha a.k.a CHURA, analipia goli moja milioni 10, halafu wajinga wanamchangia pesa za kuchukua form ya kugombea urais.

Nahakika wakishindwa kujipendekeza watakuwa mashoga.
 
Ila Lissu akichangiwa mapesa anunue gari ni nongwa?Acha roho mbaya mnyamanyafu!
 
Walimu si walishachanga au kuna fomu mbili mkuu nieleweshe!
 
🙄🤔🤔🤭
 
Bunge lenyewe tu haliwezi kufanya kazi zake vyema na kwa ufanisi ikiwa serikali italipa pesa kwa kusuasa sua ,kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake.
Mkuu, kwa hiyo una shauri bunge litoe takrima/rushwa kwa Rais ili awe anatoa hela kwa wakati.

Tufahamishe hiyo fomu imefika billioni moja kulipia???

Mkuu utekelezaji wa majukumu na maendeleo yote uliyoyataja si ndio wajibu wa Rais kwa wananchi na sera ya chama chake???

Hivi Lukas hela iliyotumika si ni kodi yetu wananchi, au siku hizi Rais anatumia mshahara wake kwenye bajeti ya Taifa???

Mkuu chawarika taratibu!
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Waulize hata waheshimiwa Wabunge kuwa ni lini walikwama shughuli zao kama Bunge kutokana na changamoto ya pesa? Ni lini wameshindwa kwenda kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kwa sababu ya kukosa pesa?
Mkuu ubunge sio hisani ya Rais, ni haki ya wananchi kuwakilishwa. Wabunge sio wawakilishi wa Rais, ni wawakilishi wa wananchi!!!
 
Labda iwe Wabunge mnasubiri Nini kupiga kura ya kutokuwa na imani na rasi baada ya kuuza nchi

Mpina waongoze wabunge tumfurushe huyu raisi ameuza ngorongoro na bandari
 
Labda iwe Wabunge mnasubiri Nini kupiga kura ya kutokuwa na imani na rasi baada ya kuuza nchi

Mpina waongoze wabunge tumfurushe huyu raisi ameuza ngorongoro na bandari
🤣 🤣 🤣
 
Huyu Lukasi sio mtu wa kawaida kama sio kichaa bas yupo kazini lakini hamna mtu mwenye akili timamu tena mwanaume halafu awe na tabia kama za huyu mchizi anakera mpaka anakera tena lushindo huyu
 
Watanzania sisi ndio tunajuwa ni nani anaweza kutuongoza na kutuletea maendeleo ya kasi. Na kwa sasa Tumaini letu ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ndio chaguo letu watanzania.
Hao watanzania uliwakuta wapi wakakutuma uwasemee huo upuuzi wako, mie ni mtz simuungi mkono huyo mamako...hapo vp utabubujikwa na machozi ya huzuni?!.
 
Kwani fomu sh ngapi
 
Walimu si walishachanga au kuna fomu mbili mkuu nieleweshe!
Pesa zinaendelea kuchangwa na wote wenye mapenzi mema na Taifa letu ambao wanatambua umuhimu wa Taifa kuwa mikononi mwa Rais Samia.pesa zingine zitasaidia kupita mikoani na mafuta ya gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…