Bora na wewe umegundua jamaa anatatizo la UHANTOBWE ambalo husababishwa na mlundikano wa Nyege mwilini, dalili zake zote zinaonekana kwa Lucs.Lucas njoo pm kwanza tujadili hili tatizo lako, inabidi nikuwahi kabla hali haijawa mbaya
Sio kweli! Lucas Mwashambwa ni handsome kwao huko Mbozi mabinti wanajigonga kwake na yeye anawapelekea moto kisawasawa hadi mimi naona wivuBora na wewe umegundua jamaa anatatizo la UHANTOBWE ambalo husababishwa na mlundikano wa Nyege mwilini, dalili zake zote zinaonekana kwa Lucs.
Basi atakua na kahirukafu kidogo kwenye ubongo.Sio kweli! Lucas Mwashambwa ni handsome kwao huko Mbozi mabinti wanajigonga kwake na yeye anawapelekea moto kisawasawa hadi mimi naona wivu
Nakuona katika ubora wako, siku ukipita hapa Iyunga tuwasiliane japo tupate moja mbili hapa break pointMsema kweli ni mpenzi wa Mungu. Waulize hata waheshimiwa Wabunge kuwa ni lini walikwama shughuli zao kama Bunge kutokana na changamoto ya pesa? Ni lini wameshindwa kwenda kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kwa sababu ya kukosa pesa?
Nakupenda wewe tu ephen lazizi wa ❤️ wanguSio kweli! Lucas Mwashambwa ni handsome kwao huko Mbozi mabinti wanajigonga kwake na yeye anawapelekea moto kisawasawa hadi mimi naona wivu
Machozi yanibubujika!Pesa zinaendelea kuchangwa na wote wenye mapenzi mema na Taifa letu ambao wanatambua umuhimu wa Taifa kuwa mikononi mwa Rais Samia.pesa zingine zitasaidia kupita mikoani na mafuta ya gari
Ni ujinga kudhani kusifia ujinga ndio adabu/heshima. Yeye Kajiita CHURA mwenyewe, halafu kila siku analipia magoli milioni 10 kila goli, halafu kuna wajinga kama wewe wanataka achangiwe kuchukua form ya kugombea urais ambaya ni milioni 1.Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lucas njoo pm kwanza tujadili hili tatizo lako, inabidi nikuwahi kabla hali haijawa mbaya
Si nilisikia alishachangiwa lo??