PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM. Naipenda sana siasa na ipo Damuni Mwangu .

Wakati leo ikiwa ndio Pazia likiwa limefunguliwa la zoezi la uchukuaji wa Fomu. Kuna watu ambao nilikuwa nawaza sana juu ya wao kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge . Lakini pia kuna watu ambao nimesikia na wao pia watajitokeza kuchukua Fomu kabla ya Tarehe ya mwisho ya kufungwa kwa zoezi hilo.

Kwa Maoni yangu japo ni haki ya kila mmoja kutumia fursa hiyo kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge ,licha ya kuwa hakuna anayezuiliwa kuchukua Fomu ya Ubunge,licha ya kuwa milango ipo wazi kwa yeyote mwenye dhamira ya kuutaka uheshimiwa,licha ya kuwa hawajichagui wao hata kama kuchukua fomu ni haki yao lakini hawana haki ya kujiteua wenyewe.

Lakini Kwa Maoni yangu nilikuwa jikiwaangalia baadhi ya watu naona kuwa wangevaa mioyo ya Uungwana tu Ya kupisha watu wengine ,wangeacha na kutoa fursa kwa vijana kuchukua nafasi zao,wangeacha mawazo mapya na Damu Changa kuchukua hatamu,wangekaa pembeni na kuwapa hamasa vijana wachukue Fomu na kuwaunga mkono.

Wengine sioni ni kipi wanakwenda kufuata Bungeni au ni kipi kipya wanakwenda kupeleka Bungeni au wanakwenda kuvumbua nini kule Dodoma. Yaani wengine nakuwa sielewi ni kwanini wanaamua kugombea ubunge. Na wakati Mwingine nakuwa naona nafasi ya vijana kupenya ni ndogo sana ikiwa chama hakitawabeba vijana katika uteuzi wa mwisho.

Kwa sababu sisi vijana ni maskini sana wa kipato,tumetoka kwenye familia maskini ,tumekulia katika mazingira magumu na ya taabu na shida. Ni ngumu sana kushindana na baadhi ya wagombea ambao wao wameogelea kwenye Bahari ya utajiri ,vyeo vikubwa vikubwa vya uteuzi na kuamua kujitupa kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge.

Sasa kijana mwenzangu na Mimi uliyemaliza chuo kikuu na labda huja ajira au shughuli yenye kukupatia kipato cha kueleweke au upo zako unabeba zege mitaani kwenye site za ujenzi au upo anahangaika na kilimo cha kutegemea mvua Ya Mungu inyeshe.au upo kwenye bodaboda ya mkopo wa marejesho ya Elfu kumi kila siku.

Ni vipi utashindana na wazito hawa katika uwanja wa mapambano? Ni vipi utapambana na watu wenye misuri ya kifedha na connection za kila aina wakati wewe kijana mwenzangu unafahamika na katibu wako tu wa kata? Utashindana vipi na mtu ambaye amewahi kupata uteuzi wa Rais kabla ya kuamua kujitupa kwenye ubunge . Wakati wewe mwingine kijana katika ukoo wako wote kuanzia mababu na mabibi wa mababu zako na mabibi zako hakuna ambaye amewahi kupata uteuzi wala kufahamiana hata na Mkuu wa wilaya yako?

Haijawahi kutokea kwenye ukoo wenu akatokea hata kiongozi wa kuteuliwa tu kwenye kamati ya maandalizi ya Mwenge wa uhuru kwenye kata yenu au wilaya ambako mwenge utalala. Sasa ni vipi ushindane na mtu ambaye maisha yake yote anapataga uteuzi na jina lake siyo geni kwenye mamlaka za uteuzi na viunga vya Lumumba .

Hapa ili kijana upenye inahitaji huruma ya hawa mabosi wakubwa waamue wakusaidie kwa kuamua kukuachia na kukuunga mkono . Pia chama kiamue kutenda haki kwa kuangalia mtu anayekubalika kwa watu bila kujali hali yake ya kiuchumi pamoja na Jina lake la ukoo.

Hivyo kuna watu siona sababu ya wao kuchukua Fomu. Nilikuwa naona wangekaa tu pembeni na kutoa nafasi kwa vijana kuendelea na mchakato wa kuomba nafasi ya kuteuliwa. Lakini pia chama kutumia intelligence kali sana kubaini haya hasa huku chini ili Fedha isitumike kuwapa kipaombele wenye pochi nene na kuwaacha vijana. Maana ikitumika na kutumiwa ile kauli isemayo mkono mtupu haulambwi na pia jicho la chama likashindwa kubaini mtego huo basi vijana wataendelea kuwa wasindikizaji mpaka waote Mvi nyeupe utafikiri wamemwagiwa unga kichwani.

Tumaini pekee linabakia mikono kwa Rais wetu Mpendwa na mwenyekiti wetu wa chama Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuongoza vikao ambavyo vitafanya maamuzi ya ujasiri bila kumuangalia mtu usoni zaidi ya kutenda haki tu kwa watu wote kulingana na mtu anavyokubalika na kuungwa mkono na watu wengi.

Haki itendeke na ionekane kweli imetendeka.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Watu wamejipaka Gundi kijana.
Mzee akiondoka Jua maktaba imeungua.
Hatoki mtu hapa.😂
1746450602703.jpg
 
Tulia
 
Kijana una nguvu, iweje uogope wazee?

Dai Reforms kabla ya uchaguzi hoja yako itakuwa na mashiko,

Tofauti na hapo, kalilie chooni upate huruma ya nzi wa kijani.
 
Kiufupi ni kuwa unasema chama chako cha CCM hakitendi haki.
 
Vijana wenyewe mumechagua kuwa machawa wa viongozi ndiyo maana mnadharaulika. Kama wewe 24/7 unasifia wengine kwa nini muda huo usingeutumia kujipanga kugombea wewe?
 
Kwahiyo nawe unataka reforms??
 
Vijana wenyewe mumechagua kuwa machawa wa viongozi ndiyo maana mnadharaulika. Kama wewe 24/7 unasifia wengine kwa nini muda huo usingeutumia kujipanga kugombea wewe?
Mwambie mshamba huyo uvivu tuu wa kujishughulisha
 
Back
Top Bottom