Kwenye hili umeniangusha rafiki. Unatamani chief nanga amuachie mwl odili? Ok, ni namna nyingine ya kuonyesha kunahitajika mifumo ya hata atokaye skuli aweze kupambana na kushinda kwa kushawishi and not anything else, CCM never think this way na sijui kwanini unaamini huruma za mtu (rais)!?