Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Makene WHO wameshasema COVID-19 is here to stay! Acha ngonjera mkuu. Pia waambie hao wabunge 14 waliotajwa na Spika warudishe pesa zetu!
pesa warudishe lockdown ruksa lakini at your own cost sio cost ya bunge
karantini hujitangazii hutangazwa na wizara ya afya au madaktari husika hujiweki tu ila ukijiweka mwenyewe poa mradi kwa gharama zako ukitaka za mwajiri lazima mkubaliane kwanza kuwa nenda karantini kwa gharama zangu hamjakubaliana lazima urudishe
 
Kwahiyo inabidi WAKACHOKONOLEWE PUANI kuthibitisha wako salama?
Ukute mchokonoaji ana kisasi
Halafu majibu yatoke wako negative.
Hapo tena test iseme positive
Wanapigwa karatini tena ya Muloganzilaaaa.

Kazi kweli kweli in Jk voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika ameongeza kusema kuwa msingi wa makubaliano hayo, unatokana na maelekezo na ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo yamethibitisha kuwa, kujitenga (self isolation) ni mojawapo ya njia muhimu zilizothibitishwa kisayansi katika kuzuia au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa sababu inasaidia kuvunja au kupunguza muingiliano wa watu.
kwa hiyo chadema wanawasikiliza watu wa nje wa WHO ku ji lockdown na sio wapiga kura wao hawa? Wanapingana na wapiga kura hawa ambao hawataki lockdown??

 
m ninacho washaur waendelea na karantin maana wizara haijasema kama hali n shwar,wabaki huko wasije kwenda kuambukizwa huko bungeni
 
posho ni nini mbele ya uhai wa mtu?wapambe wa jiwe mnafikiria hela tu kuliko hata utu
Akili zako zote umempa mbowe akushikie. Sioni walichokwepa, wanarudi ili waambukizwe au ? Yaani mpumbavu ndo anaweza kubaliana na hao misukule wa Mbowe. Wambie waende wakiwa wamepimwa korona na posho walizochukua ambazo hawajazifanyia kazi. Vinginevyo bunge watalisikia tu kwenye redio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wachache lakini akili kubwa. Inakuwaje wale wengine rundo kubwa ila majanga?
2306076_1572191514899.jpeg
 
Hivi wewe @Crimea,mbona makosa yako ya uandishi ni mengi sana kuliko kawaida!??
Wanalejea ni kitu gani!?
Kwani unakimbizwa!? Unalipwa kwa post nyingi!?
Ndiyo nalipwa mkuu!
Sasa noamba nijibu swali langu, hao wabunge wanarudi bungeni kutoka karantini, kwahiyo wameahajiridhisha kule bungeni hakuna tena corona na hawataambukizwa tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika ameongeza kusema kuwa msingi wa makubaliano hayo, unatokana na maelekezo na ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo yamethibitisha kuwa, kujitenga (self isolation) ni mojawapo ya njia muhimu zilizothibitishwa kisayansi katika kuzuia au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa sababu inasaidia kuvunja au kupunguza muingiliano wa watu.
Mimi ni mmoja niliwabana humu kuwa hakuna mtu aweza itisha karantini kama sio daktari au wizara ya afya mbowe sio daktari na wala chadema sio chama cha madaktari Tanzania ni ka challenge!!

Sasa angalia walichoandika wahuni hawa ohhh ku ji lock down kumetokana na maelekezo na ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Tunaomba hiyo barua na hayo maelekezo ambayo WHO iliwaandikia moja kwa moja chadema bila kupitia wizara ya afya au bunge kuwa mwende mka ji lockdown wiki mbili

Tuwekeeni hiyo barua ya maelekezo kuja kwenu direct addressed to CHADEMA.

Maana kikawaida kama WHO wana issue huwa addressed through wizara ya afya then wizara hu mu forwadia muhusika

Tuwekeeni hapa hiyo barua ya WHO .Kama hiyo barua hamnayo tunaomba pesa zetu mrudishe za posho zote mlizochukua za per diem na za vikao
 
Ndiyo nalipwa mkuu!
Sasa noamba nijibu swali langu, hao wabunge wanarudi bungeni kutoka karantini, kwahiyo wameahajiridhisha kule bungeni hakuna tena corona na hawataambukizwa tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa karantini ni ili usiambukizwe au usiambukize(kama umeambukizwa)!?
Ukiweza kujibu hilo swali,nitaamini wewe si "bot".
 
Sakata la chadema linanikumbusha kisa cha wanaume wanaoogopa kupima ukimwi wanasubiria wake zao wapate mimba wapimwe ndo na wao wafahamu kuwa hawana. Chadema wamejipima corona hawana hivyo waliobaki bungeni pia hawana corona.
 
Ni Jambo jema japo kimsingi kuna mambo yameshawapita hasa hotuba za Kambi ya Upinzani kutokuwasilishwa, hili ndilo lilikuwa kosa kubwa sana na nasikitika kwanini mlilipuuza maana wananchi wamekosa uwakilishi ambao wengi wetu tunategemea kambi ya Upinzani wangekuwa wawakilishi wetu
Hotuba ya kambi ya upinzani ilishapigwa marufuku na Jiwe, ndiyo maana kila ikionekana bungeni spika anapambana aichanechane kabla haijasomwa,maana anajua power iliyo ndani ya hotuba hiyo,bora tu wameji isolate,hilo ndiyo la muhimu zaidi kwao
 
Kuwa karantini ni ili usiambukizwe au usiambukize(kama umeambukizwa)!?
Ukiweza kujibu hilo swali,nitaamini wewe si "bot".
Mbowe alisema bungeni kumejaa corona na kuna wabunge wamekufa kwa corona,
Akaamuru wabunge wa chadema wote wakae karantini kujiridhisha kama wako salama,
Wakatoa msimamo kwamba lazima wabunge wote wapimwe,
Haya carantin ndio hiyo wamemaliza, kwa hiyo wanaifuta corona bungeni tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakata la chadema linanikumbusha kisa cha wanaume wanaoogopa kupima ukimwi wanasubiria wake zao wapate mimba wapimwe ndo na wao wafahamu kuwa hawana. Chadema wamejipima corona hawana hivyo waliobaki bungeni pia hawana corona.
Sasa yale matamshi ya mbowe kwamba bungeni hali si shwari yameshafutwa?

Nmeamini upinzani wa tanzania hawawezi kuishauri selikali, ma siku ukifuata ushauri wao umekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom