Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,829
- 38,912
Kwani jiwe alikimbia bungeni?..Jiwe naye amekimbia.
..atarudi lini?
..atakuja Dodoma kuvunja bunge, au atalivunja bunge toka uani kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jiwe alikimbia bungeni?..Jiwe naye amekimbia.
..atarudi lini?
..atakuja Dodoma kuvunja bunge, au atalivunja bunge toka uani kwake?
Wapuuzi tu. Wakumbuke na kurudisha posho walizochukua bila kuhudhuria bungeni.
Sasa wanarudi bungeni kufanya nini? ina maana corona waliyoikimbia bungeni imeisha?Kuna msemo maarufu Sana kwa Sasa unao trend kwamba: UCHUMI UKIFA au KUPOROMOKA tokana na COVID-19 UNAWEZA KUUFUFUA LAKINI UHAI UKITOWEKA HUWEZI KUUFUFUA.
CHADEMA wameangalia umuhimu wa Afya kuliko PESA.
Hivi leo hii CCM wanaweza kurudisha Uhai wa wale WABUNGE 3 WALIOFIA/ATHIRIKA BUNGENI???
Sasa wanarudi bungeni kufanya nini? ina maana corona waliyoikimbia bungeni imeisha?
Acheni mambo ya kitoto. Unakimbia corona halafu unarudi kwenye corona baada ya wiki mbili ni akili au matope. Mrudishe na hiyo posho mliyochukua bila kuhudhuria bunge. Aliyewapa jina la nyumbu hakukosea.Unataka kunambia ukiwekwa Quarantine ya 14 days ukitoka Covid-19 inakuwa imeisha? Acha maswali ya kihanixxx.....!!!
Mku hapo ningefikiri Chadema wangelazimisha na wenzao wapime ndipo na wao waliokuwa "Karantini" wakubali kujumuika sasa wao Chadema kabisa wapo tayari kujipeleka kwa wale ambao hawajapima? Ladba watwambie sasa wamefuata pesa na kusahau msimamo wao wamwanzo.mkuu katika chama wa upinzani pumbavu kuliko vyote dunia chadema inaongoza ikiwa chini ya Mbowe sio chama hiki ni kundi la wajinga fulani waliorundikana kwa mwavuli wa chama.Tatizo mwenyekiti na katibu mkuu elimu hawana .ujuaji bila elimu una mwisho.Hayo ndio matokeo yake