Wabunge wa CHADEMA kurejea Bungeni kuanzia leo

Hapa Chadema tuwaambie ukweli,mmechemka sana,mmechemak sana mmechemak sana.
Mnaporudi bungeni,mnarudi mkiwa na uhakika kuwa Corona imeisha au mmkiwa tayari mmepata chanjo na mnajua mtaepuka janga hili ?
Mnarudi bungeni,je ndani ya bunge maambukizi yapo au hayapo ?
Labda tuwaulize,hao wataalamu wa afya waliwaambia kwamba ukikaa siku kumi na nne umejifungia ndani baadae ukatoka,hautopata Corona ?
Chadema muwe mnajiangalia sana katika mikakati yenu,kama mnefeli sehemu ndogo kama hii mtafeli sana,mkumbuke siasa ni mahesabu,hili nalo mmekosa pia.
Mbona boss wenu hatoki kisiwani rubondo?

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Habar Wana jamiforums

Naiman umu weng wenu leo siku imeenda vizuri Sana naiman kwa hili walilo fanya chadema leo litakua limekuchekesha Sana
Yan apa naandika Uzi uku nimeshika mbavu zangu Mana zinauma kwa kucheka

Nirudi kwenye mada ivi chadema mmefanya nn hiki [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaio mlikaa karantin kukimbia Corona leo mnatutangazia kua mnarud bungeni Kwan Corona imeisha?

Ndiomana nasema siku zote chadema na makamanda wenu inabid chama kipate muongozo mpya na mawazo mapya Ila hamtaki kusikia.
Kusema kwel chadema ya doctor slaa ni tofaut na chadema hii. Chama Kama chadema kufanya vitu Kama ivi ni kujishushia heshima mbele za watu

Ivi mtu akitokea akawauliza mligoma Kwann kwenda bungeni mtamjibu nn kwa mfano.?

Chama Cha chadema kimeonesha dhahir kua viongoz hawafai Wala hawastail kuendelea kuongoza chama kikubwa Kama chadema vijana wa chadema ni wakat wenu wa kuamua hatma ya chama

Pia walicho kifanya viongozi wa chadema leo ndicho watacho kifanya viongozi wote walio msikiliza WHO kua kujifungia ndani ni njia sahihi ya kupambana na Corona pia watachekesha watu Kama walivyo tuchekesha CHADEMA leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuja na hoja yako mfu ungejiuliza kwanza kwanini shule zote na vyuo pamoja na usafiri wa anga hasa za Kimataifa zimesitisha shughuli zao?? Siku corona ikipiga hodi mlangoni kwako ndiyo utajitambua maana hujui hata kwanini mpaka hivi sasa M/Kiti wa chama chako hayuko ofisini kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar Wana jamiforums

Naiman umu weng wenu leo siku imeenda vizuri Sana naiman kwa hili walilo fanya chadema leo litakua limekuchekesha Sana
Yan apa naandika Uzi uku nimeshika mbavu zangu Mana zinauma kwa kucheka

Nirudi kwenye mada ivi chadema mmefanya nn hiki [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwaio mlikaa karantin kukimbia Corona leo mnatutangazia kua mnarud bungeni Kwan Corona imeisha?

Ndiomana nasema siku zote chadema na makamanda wenu inabid chama kipate muongozo mpya na mawazo mapya Ila hamtaki kusikia.
Kusema kwel chadema ya doctor slaa ni tofaut na chadema hii. Chama Kama chadema kufanya vitu Kama ivi ni kujishushia heshima mbele za watu

Ivi mtu akitokea akawauliza mligoma Kwann kwenda bungeni mtamjibu nn kwa mfano.?

Chama Cha chadema kimeonesha dhahir kua viongoz hawafai Wala hawastail kuendelea kuongoza chama kikubwa Kama chadema vijana wa chadema ni wakat wenu wa kuamua hatma ya chama

Pia walicho kifanya viongozi wa chadema leo ndicho watacho kifanya viongozi wote walio msikiliza WHO kua kujifungia ndani ni njia sahihi ya kupambana na Corona pia watachekesha watu Kama walivyo tuchekesha CHADEMA leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani hao Wengine wanaokaa Karantini hadi yule Mbunge wa CCM wanavyorudi Maofisini na Bungeni CORONA imeshakwisha?
 
1589552050506.jpeg

Inaongea sauti kutoka Rubondo
 
mwanzisha mada umechemka.
paragraphy ya mwisho imechangnya mambo kufanya mada nzima isieleweke
umeshindwa kutofautisha Quarantine na Lockdown
umeshin dwa kujua CDM walichagua na kutekeleza kipi
ni mbaya sana kama mwanzisha uzi mwenyewe haelewi alichokiandika kwa usahihi kina maana gani
 
Haya nafuta
mwanzisha mada umechemka.
paragraphy ya mwisho imechangnya mambo kufanya mada nzima isieleweke
umeshindwa kutofautisha Quarantine na Lockdown
umeshin dwa kujua CDM walichagua na kutekeleza kipi
ni mbaya sana kama mwanzisha uzi mwenyewe haelewi alichokiandika kwa usahihi kina maana gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huku mtaani sio hotspot!😁😁😁😁
Wahamie mwezini duniani kuna Corona

I guess hujui lolote kuhusu epidemiology 😁😁😁😁😁
kama umesoma epidemiology usingeliandika hivyo. Pale kulikuwa ni hotspot ya coronavirus. It was right ku pa lock from everybody to enter. Hivyo what they did is what is expected of a sensible man
 
Ivi kunawajinga Kama MBOWE na genge lake kwenye hii nchi?yani kama matoto madogo

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom