RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,021
- 4,488
W
Wanakurupuka waligoma kwenda bungeni ili waikomeshe serikali ila wamejivuruga wenyewe kufukuzanaIla chadema kama chama kina drama nyingi hiyo karantini badala ya kuwasaidia imezidi kuwagawanya mpaka wamefukuza wabunge wao ingawa utekelezaji ni mgumu wamejulikana wamechukua pesa bila kufanya kasi ambalo ni kosa kubwa kisiasa na wamewapa faida wapinzani wao