kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,811
Una akili fupi sanaMadai yao ya kupima wabunge hajatekelezwa,
Kwa hiyo wanaenda kuambukizwa corona tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili fupi sanaMadai yao ya kupima wabunge hajatekelezwa,
Kwa hiyo wanaenda kuambukizwa corona tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
bwana andunje hawezi kuwaruhusu hawa wabunge.
Heb fafanua hapo akili kubwa ipi? kama si ujinga tu!!!Chadema wachache lakini akili kubwa. Inakuwaje wale wengine rundo kubwa ila majanga?
Yesu wangu !! Kama akili kubwa ndo hii naomba huyo anaegawa asinipe mimi wala wa uzao wangu, ni takataka.Chadema wachache lakini akili kubwa. Inakuwaje wale wengine rundo kubwa ila majanga?
Wewe mwenye akili ndefu niambie chadema wanarudi bungeni kufanyaje wakati kuna corona na kilichowatoa ni corona?
Ni Jambo jema japo kimsingi kuna mambo yameshawapita hasa hotuba za Kambi ya Upinzani kutokuwasilishwa, hili ndilo lilikuwa kosa kubwa sana na nasikitika kwanini mlilipuuza maana wananchi wamekosa uwakilishi ambao wengi wetu tunategemea kambi ya Upinzani wangekuwa wawakilishi wetu
Ila ccm Ina vilaza sijawahi ona,natamani mngeijua akili ya CDM.wazuieni bungeni muone kitachojiri.Hahahahha... Hawa jamaa ni wajinga sana,!
Kwa hiyo wanalejea kwenda kuambukizwa tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu maamuzi ya Chadema hayakuwa ya busara, COVID unaweza kupata kokote....pili chadema walitakiwa kutumia inteligensia kujua maamuzi yao yatachukuliwa je na bunge kabla yakufanya maamuziWabunge wote wa Chadema ambao hatimae wamehitimisha siku 14 za kujitenga (self isolation) kwa kukaa nyumbani na kutohudhuria shughuli za Bunge, vikiwemo vikao vya Bunge, ndani ya ukumbi na kamati zake katika maeneo mengine ya mhimili huo, leo Ijumaa, wanatarajiwa kurejea bungeni kuendelea na majukumu yao, baada ya kuwa na uhakika kuwa hawana maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19.
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika (Mb) amesema kuwa Wabunge wa Chadema waliotekeleza uamuzi wa makubaliano ya Chama na wabunge, ya kujitenga kwa kutofika maeneo yote ya Bunge, walitekeleza masharti na ushauri unaotolewa na wataalam wa masuala ya afya kuhusu namna bora ya kujikinga au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, miongoni mwa watu hasa inapotokea mahali walipo zipo taarifa kuwa kati yao kuna maambukizi ya virusi hivyo vinavyosababisha Ugonjwa wa COVID19.
"Wabunge wetu wote waliotekeleza makubaliano na uamuzi wa Chama na Wabunge wa kujitenga kwa siku 14, ambayo yanatokana na maelekezo na ushauri wa wataalam wa afya, likiwemo Shirika la Afya Duniani, kwa sasa, kuanzia leo, watarejea bungeni kuendelea na shughuli za kuwawakilisha wananchi, huku wakiendelea kuzingatia tahadhari zote za kujikinga wao na kuwakinga wengine wakiwemo wabunge wengine, Watumishi wa Bunge na wananchi wetu," amesema Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika.
Itakumbukwa kuwa Wabunge wa Chadema walianza kutekeleza makubaliano hayo tarehe 1 Mei, mwaka huu, baada ya kuwepo kwa taarifa za maambukizi ya Ugonjwa wa COVID19 katika maeneo ya Bunge, hususan miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo siku hizo 14 zinazoelekezwa na wataalam wa afya zimemalizika jana na sasa wana uhakika na afya zao dhidi ya maambukizi ya COVID19.
Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. Mnyika ameongeza kusema kuwa msingi wa makubaliano hayo, unatokana na maelekezo na ushauri wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo yamethibitisha kuwa, kujitenga (self isolation) ni mojawapo ya njia muhimu zilizothibitishwa kisayansi katika kuzuia au kupunguza maambukizi ya Virusi vya Corona, kwa sababu inasaidia kuvunja au kupunguza muingiliano wa watu.
Imetolewa leo Ijumaa, Mei 15, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1450788
View attachment 1450789
Asante sana hongera.kumbe tuko pamojaMimi Niko ccm pia Niko chadema ndo hivyo Mbowe ndo Alpha na omega wasiasa za Upinzani hila Magufuli ni Kiongozi wa chattel tu
Unamtisha nani sasa? Mtafanya nini wakati akili zenu zilishafika mwisho?Ila ccm Ina vilaza sijawahi ona,natamani mngeijua akili ya CDM.wazuieni bungeni muone kitachojiri.
Hotuba ya kambi ya upinzani ilikua isomwe mapema kabisa kabla ya quarantine ya CHADEMA, spika aliikataa!Ni Jambo jema japo kimsingi kuna mambo yameshawapita hasa hotuba za Kambi ya Upinzani kutokuwasilishwa, hili ndilo lilikuwa kosa kubwa sana na nasikitika kwanini mlilipuuza maana wananchi wamekosa uwakilishi ambao wengi wetu tunategemea kambi ya Upinzani wangekuwa wawakilishi wetu
Usimkufuru Muumba Kwa sababu ya tofauti za itikadi! Na hata ikibidi kukufuru, usiwatakie uzao wako laana zisizo na sababu! Kwanini ujiapize kwa mambo madogo tu haya, ambayo ni tofauti za kimtazamo tuu?!Yesu wangu !! Kama akili kubwa ndo hii naomba huyo anaegawa asinipe mimi wala wa uzao wangu, ni takataka.
Sent using Jamii Forums mobile app